mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 798
1$=1000ksh
Sasa itakuwepo vipi?
Sasa itakuwepo vipi?
Kwacha nakataa kwani shilingi yetu ipo juu sana kuliko kwacha.Wana mpaka noti ya shilingi laki moja .
Walichofanya ni kama sisi kwenye elfu moja tuandike 1 ,Alafu maandishi yasomeke elfu moja.au 10= Elfu kumi ,50 efu hamsini.
Mfano sasa hiyo Elfu kumi (10) kwacha nisawa na sh 2200 kwa Sasa au Leo hii.
Kwa kuiweka kwacha Uzi wako umekosa uhalisia ,wenyewe wanaomba poor kwetu na wanaielewa sana fedha yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
heeeeh hebu tuelezee,walikua wanafanya hujuma gani? binafsi sielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu soma huu uzi Kwacha ya Zambia ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi ya Tanzania. Imekuwaje kwa sasa Kwacha ipo juu sana zaidi ya shilingi yetu?Hakuna Nchi kwa upande wa fedha yake naikubali Kama Zambia. Sijui wametumia Effort gani kubadii kutoka Kuwa pesa ya thamani ya Chini mpaka ubora huo.
Maana Kwacha ilikuwa mara mia kabisa TZS.
Lakini toka akamate Nchi Lungu, Mambo yanaenda Mswano kwa Ustable wa Currency yao. Tanzania CCM ndiyo Shida.
Soma hii Kwacha ya Zambia ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi ya Tanzania. Imekuwaje kwa sasa Kwacha ipo juu sana zaidi ya shilingi yetu?Kwacha tangu lini ? Hii mbona Kali sababu fedha yao ilijuwa ovyo sana kulinganisha na Shilingi ya Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma na bado sijaona Jipya. Ongea lingebe Swain wewe.Hebu soma huu uzi Kwacha ya Zambia ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi ya Tanzania. Imekuwaje kwa sasa Kwacha ipo juu sana zaidi ya shilingi yetu?
Unaweza pata la.kujifunza kuongeza elimu
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aksante sana KELBU wewe kwa kuwa werevu. IdiotNimesoma na bado sijaona Jipya. Ongea lingebe Swain wewe.
Naona mabeberu mmeanza kupika taarifa zenu ili kudhoofisha nguvu za raisi wetu mtufukufu wa jamuhuri ya ndizi.
Ajabu ya mbuzi dume kunukia sambusa,Hivi nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kama Kenya haimo? Hivi na Naija nayo olah au macho yangu?Kama KENYA haimo ni maajabu ya SENENE?
Naona mabeberu mmeanza kupika taarifa zenu ili kudhoofisha nguvu za raisi wetu mtufukufu wa jamuhuri ya ndizi.
Kwacha ilianza na rate yaHakuna Nchi kwa upande wa fedha yake naikubali Kama Zambia. Sijui wametumia Effort gani kubadii kutoka Kuwa pesa ya thamani ya Chini mpaka ubora huo.
Maana Kwacha ilikuwa mara mia kabisa TZS.
Lakini toka akamate Nchi Lungu, Mambo yanaenda Mswano kwa Ustable wa Currency yao. Tanzania CCM ndiyo Shida.
3. Cedis ya Ghana
Ghana ni nchi pekee ya afrika magharibi ambayo ipo kweny nane bora ya nchi nane zenye pesa yenye nguvu afrika
1$ = 5.50 Ghana cedis
6. Kwacha ya Zambia
Hii ni pesa ya Zambia ambayo ilichokua nafasi ya Paundi ya Zambia.
$ 1 = 11.98 kwacha
Mkuu kanuni za uchumi ni ajabu kidogo. Pesa kuwa na thamani kubwa kuilinganisha na dola sio kigezo iko vizuri. Jiulize kwanini Pesa ya Japan ina thamani "ndogo sana" kuilinganisha na hiyo ya Zambia! Jiulize kwanini China iliposhusha thamani ya pesa yake Marekani ililalamika!Hakuna Nchi kwa upande wa fedha yake naikubali Kama Zambia. Sijui wametumia Effort gani kubadii kutoka Kuwa pesa ya thamani ya Chini mpaka ubora huo.
Maana Kwacha ilikuwa mara mia kabisa TZS.
Lakini toka akamate Nchi Lungu, Mambo yanaenda Mswano kwa Ustable wa Currency yao. Tanzania CCM ndiyo Shida.