safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,164
- 15,840
Sana yani madam.si unajua usunna ni simpo sanaUlivyocheka bila shaka naww unapenda "usunna"
Sana yani madam.si unajua usunna ni simpo sanaUlivyocheka bila shaka naww unapenda "usunna"
Navijuaa mkuu.
Enzi hizo nasoma maza alikuwa ananiita kabla sijaenda skuli ananipaka nipunguze jasho.
Dah.
Nilikuwa naona mia tano nyingi sana aisee.
Hatari sana hivyo vidude. Afu kuna vile vyenye goroli
Ahahhahaha hvyo nakumbuka ukipaka kwenye ngozi vinatembea na kuacha viharufu flani flan.
Aisee haya maisha
Ommy my friend perfume ya 150,000 si ni hizi za kawaida sana zinatumiwa na kila mtu? Jichange chukua perfume angalau 500,000 - 900,000 hapo unaweza pata nzuri kidogo. Mi ninayo moja ya bei rahisi ya tsh 400,000 hii huwa naitumia napoenda GYM au beach. Lakin nyingine zinafika mpaka Mil 1 plus hizo ofisin na mitoko

mkuu unanunua uwanja au perfume. ww ungekuwa na iyo hela siungehama dunia uishe huko Pluto au Mars lol
Kweli watanzania wengi ni maskini. Kama unaaamini perfume ya 550USD inakufanya uhame duniani basi Umaskini uliopo ni wa kiwango kikubwa sana kuliko inavyosemwa.
Nmesikitika sana.... Sasa ukiona magari yangu n.k badala ya kuhamia pluto si utataka nikuoe uhamie kwangu?
yaani ni unfair kubreath same oxygen na ss walala hoi .u derseve flavoured oxygen. inaonekana unaishi Kwa ndoto pole sana mkuu .na swala la ndoa inapendeza ukaoe mama yako.
mkuu utanifanya nipigwe ban humu .do me a favour usilete uzi za kisenge nitakutukana . wenye hela zao hawaongei. Acha misifa wanaume hawajisifu. au ww upo kwenye list ya dudu baya. (oil chafu )Maisha yamekugonga sana.... Hapo unaweza jipelekea ukaolewe hata na mtoto wa bakhresa....
Hello Maam!
Kweli watanzania wengi ni maskini. Kama unaaamini perfume ya 550USD inakufanya uhame duniani basi Umaskini uliopo ni wa kiwango kikubwa sana kuliko inavyosemwa.
Nmesikitika sana.... Sasa ukiona magari yangu n.k badala ya kuhamia pluto si utataka nikuoe uhamie kwangu?
mkuu unanunua uwanja au perfume. ww ungekuwa na iyo hela siungehama dunia uishe huko Pluto au Mars lol
mkuu utanifanya nipigwe ban humu .do me a favour usilete uzi za kisenge nitakutukana . wenye hela zao hawaongei. Acha misifa wanaume hawajisifu. au ww upo kwenye list ya dudu baya. (oil chafu )
Don’t take it serious bana sisi wenyewe tumechoka nyuzi za kimaskini