Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

CONTRARIAN

JF-Expert Member
Jun 21, 2023
922
2,794
Mwenye kujua Kadeti Bora Zaidi ya Vicobss? Naomba anijuze, usinitajie kadeti zilizopo huko ulaya, najua kuna kali zaidi ya hizi, ila naangalia zile ambazo ni angalau kwa mazingira yetuu..

Sizungumzii hawa wanaojaribu ku mimic jina ili kulaghai wengi, japo wengi wanajaa kweli..

Sizungumzii VICBOSS
1710173962745.jpg

Sizungumzii VICCCBSS
Screenshot_20240311_194503_Google.jpg

Pia Sizungumzii VICOBOS.

Nazungumzia VICOBSS,
1710175681680.jpg

Kuna Brand Nyingine kali kama
Gentreman Vibes
1710174120459.jpg

VIP
Screenshot_20240311_192044_Lite.jpg

Massimo dute etc ila naona bado anakalishwa na vicobss,
Hizi nyingi bei yake inachezea kwenye 40k kwa wastani, hizi at least unafua bila kupungua ubora wake kwa haraka hasa ukizingatia Maji mazuri, na kupunguza mashart sijui ya jua na pasi.

Binafsi kwa VICOBSS nimewakubali, ni mda mrefu sasa nazitumia hazijaniangusha...

Jee KWA UZOEFU WA KUIVAA kuna mwenye kujua brand bora zaidi, tujuzane.
 
😂😂😂

Wale ambao tukifika tunaivuta vuta tunaifikicha kama chapati

Tunaulizia bei tunaomba punguzo tunalipa tunasepa

nguo tunakuja kujua jina siku nyingine kabisa

Tena unaijua jina baada ya kugundua ni feki ili usije kurudia makosa😂




pita na like kimya kimya
 
huwezi kuta hiyo brand kariakooo😂😂


duka lingine liko masaki, i think na Mlimani city ndo waweza kuta brand ya Tommy 😂😂 wanaovaa sasa hata hawpigi kelele kama wavaa cadet za zara na Jeep
Tommy yamejaa kariakoo mbona
 
Back
Top Bottom