Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
73,812
225,600
Hello my Customers

Njoo unukie kitajiri,kuwa nadhifu.
Jipatie perfumes mbalimbali kwa bei ya 25,000 na kendelea

0787530827 Whatsapp

Perfumes ni nzuri sana, Yaani unanukia na kunukia tena,zipo za kiume na za kike pia.

Mousuf(Kigunia)
Ninazo zote aina 3
Hii mousuf inajieleza yenyewe ,ni habari ya mjini kwa sasa

Ramz Lataffa
Hii inapendwa sana na Magentlemen
Imetulia mno,ni taamu

Aventos
Unanukia kitajiriUnanukia kiume

Suspenso
Kwa mbali inaendana na Sauvage
Ni nzuri mno
Kwa wale wanaume wanapenda marashi yanayoshtua,hii uapa

24 hours
Kama jina lake lilivyo,24 hours unanukia
Nzuri sana,imetulia,,,Watoto wa Mtume
Hii ndo yenyewe

Na nyingine nyingi zipo.

Nitaweka picha za baadhi za perfumes.
...................


......
Nina deodorant Old spice 20,000K
Haikomazi kwapa&nguo, na inakaa muda mrefu(hata 4months)
Ukinunua kuanzia 3 bei inapungua Hadi 15000/=


Bavaria
Wale wanaopenda marashi makali chukua hii kitu

Rose seduction temptation
Ladies
Chukulia hii kitu mwanamke wako,
Utanishukuru baadaye


YEAH
Gentleman ukipuliza hii hakuna pisi itakuchomolea
Karibuni Anne Collection


IMG-20230210-WA0006.jpg
IMG-20230128-WA0017.jpg
IMG-20230203-WA0038.jpg
IMG-20230203-WA0039.jpg
IMG-20230206-WA0036.jpg
IMG-20230206-WA0024.jpg
IMG-20230210-WA0006.jpg
IMG-20230128-WA0017.jpg
IMG-20230203-WA0038.jpg
IMG-20230203-WA0039.jpg
IMG-20230206-WA0036.jpg
IMG-20230206-WA0024.jpg
IMG-20230208-WA0021.jpg
IMG-20230210-WA0016.jpg
IMG-20230211-WA0002.jpg
IMG-20230206-WA0011.jpg
 
Hello my Customers

Njoo unukie kitajiri,kuwa nadhifu.
Jipatie perfumes mbalimbali kwa bei ya 25,000 tsh tu!

Perfumes ni nzuri sana, Yaani unanukia na kunukia tena,zipo za kiume na za kike pia.

Mousuf(Kigunia)
Ninazo zote aina 3
Hii mousuf inajieleza yenyewe ,ni habari ya mjini kwa sasa

Ramz Lataffa
Hii inapendwa sana na Magentlemen
Imetulia mno,ni taamu

Aventos
Unanukia kitajiriUnanukia kiume

Suspenso
Kwa mbali inaendana na Sauvage
Ni nzuri mno

24 hours
Kama jina lake lilivyo,24 hours unanukia

Na nyingine nyingi zipo.

Nitaweka picha za baadhi za perfumes.
...................

Nina perfumes za kupima pia.
30mils kwa 15,000/= tu

Black Opium
Creed Aventus
Invictus
Na nyingine nyingi.

......
Nina deodorant Old spice 20,000K
Haikomazi kwapa&nguo, na inakaa muda mrefu(hata 4months)
Ukinunua kuanzia 3 bei inapungua Hadi 15000/=


Bavaria
Wale wanaopenda marashi makali chukua hii kitu🔥👌

Rose seduction temptation
Ladies😍👌
Chukulia hii kitu mwanamke wako,
Utanishukuru baadaye 🔥


YEAH
Gentleman ukipuliza hii hakuna pisi itakuchomolea😂🔥
Karibuni Anne Collection


View attachment 2515272View attachment 2515274View attachment 2515277View attachment 2515279View attachment 2515280View attachment 2515283View attachment 2515272View attachment 2515274View attachment 2515277View attachment 2515279View attachment 2515280View attachment 2515283View attachment 2515304View attachment 2515309View attachment 2515310View attachment 2515311View attachment 2515312View attachment 2515313View attachment 2515314View attachment 2515315View attachment 2515317View attachment 2515318View attachment 2515319View attachment 2515320View attachment 2515321View attachment 2515322View attachment 2515323View attachment 2515324View attachment 2515326View attachment 2515327View attachment 2515328View attachment 2515329View attachment 2515330View attachment 2515331View attachment 2515332Ofisi yako ikwap?!
 
Wale wapenzi wa black Opium
Hii hapa.
Kama mnavyojua,Black opium Haina mpinzani

Unapata set nzima kwa 30k tu!
Yaani elfu 10 tatu tu!

Ndani Kuna;-
Perfume
Shower gel
Lotion

Yaani unanukia kiblack opium Kila mahala aloo

Niambie upo wapi nikuletee hadi kwenye stand ya daladala
IMG-20230214-WA0035.jpg
 
Back
Top Bottom