richenriques
Senior Member
- Jun 6, 2015
- 188
- 33
Yaani tangu mwaka jana hakuna alie comment hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bei umeiona mkuu
Yaani elf 65 kwa perfume unaona bei kali?Bei umeiona mkuu
Yaani elf 65 kwa perfume unaona bei kali?
Mkuu unazijua vizur bei za perfume? Au unapaka manuka nuka tuu?Usawa huu?!halaf najipulizia ucku?!
Mkuu unazijua vizur bei za perfume? Au unapaka manuka nuka tuu?
Hiyo perfume bei chee sana
Kwa perfume nzuri za designers wa kueleweka bei zake ni juu kuliko hiyo mkuu.... Hiyo perfume bei chee labda kama umezoea rasasi na body spraysManuka nuka km hii tu
Yaani wewe sijui wa wapi,kwanza tunaotumia perfume zenye akili tunaona hiyo bei ni rahisi sana kama perfume ya fake.Bei umeiona mkuu
Kwa sie tunaotumia vitu vya DKNY... Paco Rabbane.... Muschio Bianco.... Giorgio Armani.... Cavallo.... Viktor&Rolf etc hivyo vitu vya kawaida sana.....Kuna jamaa aliwahi nunua kamtungi kaduchu sana kwa 700,000/-
Sh ngapiKwa sie tunaotumia vitu vya DKNY... Paco Rabbane.... Muschio Bianco.... Giorgio Armani.... Cavallo.... Viktor&Rolf etc hivyo vitu vya kawaida sana.....
Inategemea.....Sh ngapi
Urufu 65 000/-??Ule wakati wa kwenda kwenda kwenye harusi unanukia spray ya seduction, katikati ya sherehe uende chemba kidogo urudie kuspray umekwishaaaa... Pata perfume original maalum kwa matumizi ya nyakati za usiku, japo kama washinda kwenye kiyoyozi hata mchana waweza tumia... Hii si ya kukosa kwa wapenda vitu vizuri... Haipatikani kariakoo wala posta, oda yako hapa... Bei ni 65000...
Nilitaka kusema hivyo hivyo ila nikaogopa kuambiwa show off. 65,000 kwa perfume ni bei ya chini.Yaani wewe sijui wa wapi,kwanza tunaotumia perfume zenye akili tunaona hiyo bei ni rahisi sana kama perfume ya fake.
100,000-200,000 za kawaida.Sh ngapi
Ukaona ujibalance tu,ila kwa mshangao aliokujanao huyo jamaa kuonyesha 65,000 ni bei kubwa,ulipaswa kusema tu maana inaonyesha jamaa ama ni mgeni kwenye kwenye haya mambo au yupo gizani sana,na inaonyesha hata hana ukaribu na watu wanaojua mambo ya perfume.Nilitaka kusema hivyo hivyo ila nikaogopa kuambiwa show off. 65,000 kwa perfume ni bei ya chini.
Nitajaribu hizi Oriflame nione zikoje,kuna vitu bei chini ila vizuri pia.
Zote hizi unapaka wakati mmoja...si utaanza kunuka badala ya kunukia[emoji15]Kwa sie tunaotumia vitu vya DKNY... Paco Rabbane.... Muschio Bianco.... Giorgio Armani.... Cavallo.... Viktor&Rolf etc hivyo vitu vya kawaida sana.....