Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,104
- 26,070
Mimi sio dogo,uwe una adabu kwa waliokuzidi umri!Upo dogo?.
Mimi sio dogo,uwe una adabu kwa waliokuzidi umri!Upo dogo?.
Yeyusha hiyo akili,itiririke unavyotaka.We jamaa ina maana huwezi kuanzisha uzi ambao Chadema haihusiani? Mbona una akili mgando sana kias hicho? Kila kukicha ni Chadema tu? TANZANIA ina mambo mengi mkuu
So ni kama debate tu.Hauna hoja. Inaonekana haufahamu the overall concept of the opposition. Opposition mkishaanza kuunga hoja za upande wa pili hapo ndo unakuwa mwisho wenu kuitwa "Opposition", Opposition mkiona wenzenu wana hoja nzuri, mnachofanya ni kukaa kimya (You maintain passivity but not to back the proposal).
Tatizo hapa kwetu watawala wamezoea kufanya jambo kwa nia ya kutegea asifiwe na pale wengine wanapokuwa na mtizamo tofauti ndipo mipango inapoundwa hata wapotee kabisa duniani!
Ndiyo maana demokrasia yetu kamwe haitakaa iondoke kwenye makaratasi.
Ndio mkuu.Ina maana wanapinga hizo tozo zilizoondolewa?!