zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,039
- 28,688
Lini wamepinga maendeleo?? Shida ni kwamba upinzani akikosoa kitu basi inatafsiriwa WANAPINGA MAENDELEO......mfano tunaweza sema mbane matumizi afu unakuta mpaka mikopo mmepunguza kwa wanafunzi kwa zaidi ya 40% sasa hapo tukikosoa kubana matumizi kwa staili hyo nyie mtasema TUNAPINGA KUBANA MATUMIZI!!!!!Wapinzani wa maendeleo tunayoyataka
Msipende kutafsiri tofauti ila msikilize hoja na mzifanyie kazi maana tunakosoa kwa maslahi ya taifa zima