Pepo la kupinga linaiangamiza CHADEMA, sasa wanapinga yale waliokuwa wanataka yawe kwenye bajeti

Kama huna hoja si lazima kuchangia, Wakudadavua ametoa hoja nzuri kwa mwelekeo wa vyama vyetu mbadala wanapinga hata yale yaliyokuwa wanapendekeza kweli wanafaa kuongoza nchi?
Hoja yake ndio hiyo, kwamba hiyo mada ni ya kipuuzi. Kwanza hajatoa mfano wa kilichopingwa na sababu za kufanya zipingwe. NItakupa mfano:

Tulidai katiba mpya. Ikiwa itaandikwa mpya, lakini haijibu hoja za kukataliwa ya zamani, tutaendelea kushangilia mpya mbaya zaidi kwa kuwa tu tulidai katiba mpya?

Ndugu yangu, akili ni nzuri ukiwa nayo tu. Wazo jema linapogeuzwa kituko ili kumkomoa mpinzani, ndio matokeo yake haya ya kuja kutafuta ujiko kuwa una mabavu ya kuzuia mapanki yasiende nje huku minofu ya Sangara na Sato inapita kwa baraka zako wewe mwenyewe
 
sababu kubwa mnakurupukia hoja za watu mwisho wa siku utekelezaji wake unakuwa wa hovyo,sasa unatoa road license unaongeza kodi kwenye mafuta more than twice unakuwa umefanyanini sasa,ulikurupukia hoja ya elimu bure we ukajua shule ni wanafunzi kurundikana tu, bila kuangalia maslahi mapana yanayo wahusu waalimu ikiwemo malimbikizo ya madeni yao wanayo idai serikali,ukashau madarasa,

haya unakimbilia kuondoa ushuru wa mazao wakati huo miundo mbinu yakutoka shambani kwenda sokoni ni hovyo kabisa na bado umeongeza kodi katika mafuta sasa unategemea mkulima ataona nafuu ya kuondolewa kodi ya mazao wakati nguvu yake aliopoteza shambani inakuja katika kusafirisha mazao kutoka alipo kwenda sokoni...!!Ukicho huwezi kutafakari jambo katika three dimension sasa mnatakiwa mpishe
 
Fikiri nje ya box, kila siku wewe na chadema tu tena unaiandika kwa mabaya, binadamu mwenye akili kama yako ni hatari kwenye jamii, ya nini kusumbuka na asie kuhusu?! Unatia kichefuchefu sasa kila ukiandika chadema, si lazima uanzishe mada soma za wengine huna upeo mkubwa wa kufikiri.
Toka afukuzwe huko yeye na Mtela imekuwa ndio tabia yake.
 
sababu kubwa mnakurupukia hoja za watu mwisho wa siku utekelezaji wake unakuwa wa hovyo,sasa unatoa road license unaongeza kodi kwenye mafuta more than twice unakuwa umefanyanini sasa,ulikurupukia hoja ya elimu bure we ukajua shule ni wanafunzi kurundikana tu, bila kuangalia maslahi mapana yanayo wahusu waalimu ikiwemo malimbikizo ya madeni yao wanayo idai serikali,ukashau madarasa,haya unakimbilia kuondoa ushuru wa mazao wakati huo miundo mbinu yakutoka shambani kwenda sokoni ni hovyo kabisa na bado umeongeza kodi katika mafuta sasa unategemea mkulima ataona nafuu ya kuondolewa kodi ya mazao wakati nguvu yake aliopoteza shambani inakuja katika kusafirisha mazao kutoka alipo kwenda sokoni...!!Ukicho huwezi kutafakari jambo katika three dimension sasa mnatakiwa mpishe
Katika muda mfupi ni lazima wanafunzi wajae madarasani baada ya elimu kuwa bure, miundo mbinu huchukua muda kukamilika. Je ulitaka wanafunzi wasiende shule?
 
Kama huna hoja si lazima kuchangia, Wakudadavua ametoa hoja nzuri kwa mwelekeo wa vyama vyetu mbadala wanapinga hata yale yaliyokuwa wanapendekeza kweli wanafaa kuongoza nchi?
Hata aliyeanzisha uzi hakuwa na hoja lakini ameandika tu kwa sababu anao uhuru na haki ya kufanya hivyo. Kwa hiyo kila mtu na asikike kile anachotaka kusema. Maamuzi ni ya msomaji.
 
Mwanamme gani huyo! viti maalum mkuu. Hujampata tuu?
sijampata mkuu, ila ananikera kuliko maelezo kila uchao amefanya kama dose ya vidonge kutwa mara 3 kuandika chadema, aache bana anahitaji kupwa ushauri nasaha, amekuwa teja wa chadema.
 
Katika muda mfupi ni lazima wanafunzi wajae madarasani baada ya elimu kuwa bure, miundo mbinu huchukua muda kukamilika. Je ulitaka wanafunzi wasiende shule?
umejibu hovyo kabisa ndomana na kwambia hoja zakudandia ndio madhara yake haya
 
Mtoa mada kapimwe akili au unaweweseka kisa umekula rambirambi
 
mambo mengi waliyowahi kuyapendekeza ikiwamo kufuta ushuru kwenye mazao,kutambuliwa kwa wamachinga na kudhibiti mapato na kodi kwenye madini pamoja na udhibiti wa matumizi sasa wamegeuka kuwa wapingaji wa mambo hayo na kibaya zaidi siku hizi hawaji na hoja mbadala,utasikia tu 'hakuna kitu', 'wanakosea', 'mpinzani hutakiwi kuunga mkono hoja' nk..nk..nk.
Kama mambo yanayotekelezwa ni yale ya CHADEMA kuna haja gani wabunge wa CHADEMA kuendelea kuyapigia kelele na kuyaongelea wakati mtu wa kufanya yale ya CHADEMA amepatikana zaidi ya kukaa kimya na kusubiri utekelezaji wake utakavyokuwa?.
 
Niseme tu, kupinga mfululizo husababisha sumu mwilini na baadaye mpingaji hugeuka sumu, ni pepo..na ngumu kuaminika tena. Mfano mdogo ni jinsi ambavyo Tundu lissu alivyogeuka sumu kwa nchi yake na kila dalili zipo atakuwa sumu kali kwa chama chake. Kilichobaki ni kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
Anayetekeleza yaliyokuwa yanasemwa na CHADEMA ana imani nao ndiyo maana anafanya waliyoyasema,msiojua CHADEMA walipokuwa wanayasema ndio muliokuwa wapinzani wa kubwa wa mambo yaliyokuwayanasemwa.

Kwa kuwa mumeamua kucheza muziki wa CHADEMA,CHADEMA wataendelea kuwatazama jinsi mnavyo serebuka na kukata viuno wakati mnacheza muziki wao,wanachofanya na watakachoendelea kukifanya ni kuwasahihisha makosa yenu mnayoyafanya wakati mnacheza muziki wao na hapo ndipo mnapokuja na hoja zenu za kusema kuwa CHADEMA wanapinga kila kitu.
 
Hili tatizo la kupinga kila kitu sasa limegeuka sumu, Chadema ilianza kama Chama chenye mawazo mbadala, baadaye kama chama/serikali mbadala huku wakiwaainisha maadui wa nchi kwa uaminifu mkuu. Baadaye wakanunuliwa na wale waliowaita maadui wa nchi na hapa ndipo balaa likaanza. Tukashuhudia pepo la kupinga kila jema likiwavaa.

mambo mengi waliyowahi kuyapendekeza ikiwamo kufuta ushuru kwenye mazao,kutambuliwa kwa wamachinga na kudhibiti mapato na kodi kwenye madini pamoja na udhibiti wa matumizi sasa wamegeuka kuwa wapingaji wa mambo hayo na kibaya zaidi siku hizi hawaji na hoja mbadala,utasikia tu 'hakuna kitu', 'wanakosea', 'mpinzani hutakiwi kuunga mkono hoja' nk..nk..nk.

Niseme tu, kupinga mfululizo husababisha sumu mwilini na baadaye mpingaji hugeuka sumu, ni pepo..na ngumu kuaminika tena. Mfano mdogo ni jinsi ambavyo Tundu lissu alivyogeuka sumu kwa nchi yake na kila dalili zipo atakuwa sumu kali kwa chama chake. Kilichobaki ni kutafunana wenyewe kwa wenyewe.

Nawasilisha.
Si na wao wananafasi ya kutengeneza bajet mbadala kwa kuonyesha vyanzo vya mapato au wao ni kupinga tu mwanzo mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom