Ila angalia isije ikawa Ni yeye hajasafiri anakutega.Habari zenu wakuu, mimi ni kijana wa mjini Dar slaam boy miaka nakaribia early 30 na experience ya kula papuch tofauti tofauti, mwaka Jana nikaona nitulie baada ya kushauliwa na bi mkubwa.
Nikajiingiza kwenye mahusiano rasmi a mean ya kuelekea ndoa sio hit and run(vijana wa mjini wanaita) na binti mmoja wa mjini mtoto mkali nn ukicheck pale kati umbo nane flanii hiviii la haja na kichwan yuko fresh tukafanya makubaliano then mapenzi yakawa bampa to bampa
Kilichofanya niandike huu uzi ni baada ya kunitambulisha kwa pacha wake in short wanafanana kila kitu yani kuanzia juu mpaka Chini, tukaongea frsh nn akuchukua namba yangu then tukawa tuna talk kama mtu na Shemeji yake, mchumba wangu miez mitatu iliyopita alipata safari kwenda Nairobi ko akadai niendelee kumpa support twin wake ya story nn ili asi feel bored daaah mzee mzima sikuona hiyana nikawa natimba kwa Shemeji, cha kushangaza Shemeji akasema ananitaka niwe mpenz wake tukiwa pamoja mitego ya ajabu ananipa niki mwambia mm natoka na pacha wake anadai mbona pacha wake wanafanana kila kitu kwa nini mimi nagoma kuwa nae? ,kiukweli wanafanana mpaka hapo nakosa pointi ya kumkataa
Niko point of dilemma wakuu, nawaza niamushe majini ya zamani ya kutafuna papuch au niache, na nikiacha naona lawama hivi kutoka kwa pacha kama siwezi kazi, nipeni ushauri wakuu
Ni copy ya mwenzake ku wa tofautisha huwezi mkuu kabsaWamefanana hadi unashindwa kumkataa? Duu pacha wangu hawezi Fanya hayo labda yupange dili.
Pacha kanitongoza sababu ya kumkataa nashindwa ni jambo zito sana mkuu napitiaYaani mkuu....!! My twin sister ampende shemejie? Na shemejie pia akose sababu za kumkataa...amaa kweli dunia hadaa ulimwengi shujaa.[emoji15]
Papuch ya Shemeji isikie tu mkuu Daah so kirahc kbsaaaWanaume wa dar, umetongozwa na demu unakuja kuhadisia... kama unakula kula acha maneno meng
Ni laini tofauti mkuu then style ya conversation ni tofauti na yakeIla angalia isije ikawa Ni yeye hajasafiri anakutega.
Ndo nacho kihofu mkuuMtego huo
Nawaza yule akijua ndo ni shamkosaacha kumlazia damu mtafune shauri yako atakuona boya
Iyo mbona itakuwa kali ya mwaka mkuuNi pale utakapogundua aliyeenda Nairobi ni shemeji yako na huyo anaekulazimisha uumle ndio huyohuyo girlfriend wako wa siku zote, ameamua kukutega tu. Hapo ndio utajua kwanini chato ilistahili traffic lights.
Ndoa mkuu ndo nahitaji kwa sasaAfu unasema uko tayari kuoa u ar not serious
Then kwann ushawishike na huyo pacha wake, baki njia kuu utagombanisha ndugu na ndoa itashindikanaNdoa mkuu ndo nahitaji kwa sasa
Naona hujui unacho kitaka mkubalie tu maadamu una shindwa kumkataaPacha kanitongoza sababu ya kumkataa nashindwa ni jambo zito sana mkuu napitia
Mkuu sio nashindwa, tayari nilimwambia siwezi kuwa naye ila still bado ananilazimishaNaona hujui unacho kitaka mkubalie tu maadamu una shindwa kumkataa
Nashukuru mkuu kwa ushauriThen kwann ushawishike na huyo pacha wake, baki njia kuu utagombanisha ndugu na ndoa itashindikana