Kwani yeye treni?
Umepaliwa na nini?Mmh hili swali mpaka nimepaliwa
Ok ni vizuri..Nashukuru nimeelewa ushauri wako mkuu
Yeah..huo mchezo umepangwa..Kutegwa mkuu, unaweza kuwa mchezo umepangwa ila sidhani maana pacha yuko serious sana
Umepaliwa na nini?
Kizuri kula na nduguyo.Ebu fikiria wewe ndiyo mmoja wa pacha wa kiume arafu pacha wako amtamani demu wako ukiwa haupo utajionaje safi au chafu[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ah mi nikadhani umepaliwa na mate. Ningekuja kukusaidia kuyanyonya. Mi na mate yako ni sawa na uji na mgonjwa.Kiroba,ningekuwekea picha ila daah usijepumzishwa tena na wale viranja wa humu
Hilo jambo ndo nalitafakar sana la kupimwa maana Shemeji anakuja mpaka nyumbanAcha tamaa..yaani umeshatamani ndio umekuja kuomba ushauri..embu yashinde majaribu mkuu!unaweza kuta unapimwa akili?!!???
Asante mkuumfyuuuuuu manina wewe
Kweli mkuu mapacha wasikie tu, naona kama mawenge maana wanafanana balaaUkipiga tu unakuta ndo mwenyewe yule alosema toa kampany ndo shem mwenyewe ushawekwa kati hapo isitoshe una wenge lazima upatikane tu labda uokoke upate Mtakatifu wa kulikemea pepo la ngono ndani yako likutoke
Mkuu umeenda mbali sana umenitishaEbu fikiria wewe ndiyo mmoja wa pacha wa kiume arafu pacha wako amtamani demu wako ukiwa haupo utajionaje safi au chafu[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ya nini mkuuNaomba number yake..
Sawa kura mzigo mkuu lakini ukumbuke leokwako kesho kwa wenzio jaza ujazweHabari zenu wakuu, mimi ni kijana wa mjini Dar slaam boy miaka nakaribia early 30 na experience ya kula papuch tofauti tofauti, mwaka Jana nikaona nitulie baada ya kushauliwa na bi mkubwa.
Nikajiingiza kwenye mahusiano rasmi a mean ya kuelekea ndoa sio hit and run(vijana wa mjini wanaita) na binti mmoja wa mjini mtoto mkali nn ukicheck pale kati umbo nane flanii hiviii la haja na kichwan yuko fresh tukafanya makubaliano then mapenzi yakawa bampa to bampa
Kilichofanya niandike huu uzi ni baada ya kunitambulisha kwa pacha wake in short wanafanana kila kitu yani kuanzia juu mpaka Chini, tukaongea frsh nn akuchukua namba yangu then tukawa tuna talk kama mtu na Shemeji yake, mchumba wangu miez mitatu iliyopita alipata safari kwenda Nairobi ko akadai niendelee kumpa support twin wake ya story nn ili asi feel bored daaah mzee mzima sikuona hiyana nikawa natimba kwa Shemeji, cha kushangaza Shemeji akasema ananitaka niwe mpenz wake tukiwa pamoja mitego ya ajabu ananipa niki mwambia mm natoka na pacha wake anadai mbona pacha wake wanafanana kila kitu kwa nini mimi nagoma kuwa nae? ,kiukweli wanafanana mpaka hapo nakosa pointi ya kumkataa
Niko point of dilemma wakuu, nawaza niamushe majini ya zamani ya kutafuna papuch au niache, na nikiacha naona lawama hivi kutoka kwa pacha kama siwezi kazi, nipeni ushauri wakuu
Ah mi nikadhani umepaliwa na mate. Ningekuja kukusaidia kuyanyonya. Mi na mate yako ni sawa na uji na mgonjwa.
Wakinipumzisha nahamia kwenye magrupu ya wozap...
Yaani mkuu....!! My twin sister ampende shemejie? Na shemejie pia akose sababu za kumkataa...amaa kweli dunia hadaa ulimwengi shujaa.[emoji15]Mara nyingi huwa wanashare hawa watu, kwa nature yao mmoja akipenda automatically na mwingine atazimika pale pale. Na hilo wanalijua, uamuz mikononi mwako lakini.