Penzi la mapacha lanitatiza

Penzi la mapacha lanitatiza

Vijana wa dar bana, Sasa wewe ni muoaji kweli au ndio bado unaweweseka na slogan ya Hit & run...

Acha ujinga kijana hebu kua na malengo mazuri na mikakati thabiti ya maisha yako.....
 
Vijana wa dar bana, Sasa wewe ni muoaji kweli au ndio bado unaweweseka na slogan ya Hit & run...

Acha ujinga kijana hebu kua na malengo mazuri na mikakati thabiti ya maisha yako.....
Nashukuru nimeelewa ushauri wako mkuu
 
Yeye ndo ananitaka na sababu za kumkataa hazina mashiko kwa sababu wanafanana kila kitu
Sababu ya mashiko ipo ya kukufanya umkatae si kwa sababu ni mbaya au kapungukiwa chochote ila ni kwa sababu ni shemeji yako. Huwezi kutoka na shemeji yako hata kama wanafanana, jaribu kutawala mihemko yako uweze kuishi kwa amani na furaha katika mahusiano yako na mwenzi wako, ndugu na jamii kwa ujumla.
 
Tafuna wote,kisha tia mimba wote, na mwisho wa siku funga nao ndoa wote.
Mwisho wa kunukuu.
 
Nipe no yake mkuu nimuoe nataka wa kuoa mie , acha tamaa ridhika na mmoja otherwise utawakosa wote.
Usisahau no
 
Acha tamaa..yaani umeshatamani ndio umekuja kuomba ushauri..embu yashinde majaribu mkuu!unaweza kuta unapimwa akili?!!???
 
Mkuu ww unaonekana
Umeshiba hebu nipgie pas
Kwa huyo mtt chap chap
Na mm nicute jiko
 
Back
Top Bottom