Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

Mkuu kwa sisi waafrika tunaruhusiwa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja tamaduni zetu zinaruhusu kabisa kama unaweza kuwamiliki wote bila upendeleo oa tu.

mi mwenyewe kwa kabila langu inaruhusu,lakini nishaamua kuufuata ukristu,maisha ya kimila siyataki tena
 
Unakunywa kinywaji gani mkuu



Maana mleta mada kwa juhudi zake binafsi...ana/ameharibu ndoa yake
 

yeah,lishanitumbukia nyongo hili
 
''siwezi kumwambia haiwezekani pia nakosa uwezo wa kumuondoa katika maisha yangu''

Kwa sentensi hiyo bado unataka ushauri?!!!

bado nahitaji ushauri mkubwa sana mkuu,ukisoma vizuri utagundua kuwa nilisema,sina maneno mazuri ya kumwambia haiwezekani kuoa wake wawili na pia haiwezekani kumuondoa maishani coz ni mjamzito tayari
 
Polemo lkn nawee ukome michepuko waga sio mizur jmn..... ukicheza utashangaa kabeba virago huyooo ndan mwako kwa mkeo nae ohoooo..... hv unatujua wanawake au unatusikia

usiniombee hivyo wangu,si unajua tumbo joto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…