jamani beki 3 anasema ana mimba yangu mi mwenyewe kula kulala bure nalelewa na bro sa cjui nifanyeje? Kwani maish yanazid kuniwea magumu ila nilikula mzigo mara moja tu mwenye nyumba amesara anataka kumfukuza beki 3 mpaka nakosa amani
hivi wewe ukipanda bangi unategemea uvune nyanya nini.. Kalee hiyo mimba acha uzembe dogo..
tamani kwa wakati sahihihongera!! Unaelekea kuitwa dngi...nataman ingekuwa mm
unaponimalizaga kama ana macho ameonamtakuwa mmekula wote na faza hausi ila kamba hukatikia pembamba.
Du kazi kwelikweli.Mtakuwa mmekula wote na faza hausi ila kamba hukatikia pembamba.
Mkuu hili ni tatizo kwa kuwa jamaa bado hana muelekeo wa maisha!We kabiliana nalo tu.Hilo wala siyo tatizo.
Mkuu mbona unashabikia sana mambo ya ngono na matokeo yake?kulikoni!Imba haleluya na upige mapambio,hiyo ni neema maana mimba haiji tu ila ni kwa neema ya Muumba.
Wengi wanalilia watoto.wewe umebarikiwa mapema hivi,piga vigeregere,hizo zingine ni changamoto tu.na usijaribu kutenda dhambi ya kuua baada ya ile ya kuzini.
MUNGU AKUBARIKI SANA.
asante sana.
Mkuu acha uchokozi,mwanaume anaweza kubeba mimba?Kwahio Una mimba????? Maana kama beki tatu Ana mimba yako basi hio mi yako
Mkuu hili ni tatizo kwa kuwa jamaa bado hana muelekeo wa maisha!