Penzi la House Girl limentokea puani!

Penzi la House Girl limentokea puani!

jamani beki 3 anasema ana mimba yangu mi mwenyewe kula kulala bure nalelewa na bro sa cjui nifanyeje? Kwani maish yanazid kuniwea magumu ila nilikula mzigo mara moja tu mwenye nyumba amesara anataka kumfukuza beki 3 mpaka nakosa amani

Omba pesa kwa bro ukatoe posa
 
jamani beki 3 anasema ana mimba yangu mi mwenyewe kula kulala bure nalelewa na bro sa cjui nifanyeje? Kwani maish yanazid kuniwea magumu ila nilikula mzigo mara moja tu mwenye nyumba amesara anataka kumfukuza beki 3 mpaka nakosa amani

mchukue mkeo mkaanz maisha
 
Jamani beki 3 anasema ana mimba yangu. Mi mwenyewe kula kulala bure nalelewa na bro sasa sijui nifanyeje? Kwani maisha yanazidi kuniwia magumu ila nilikula mzigo mara moja tu.

Mwenye nyumba amesala, anataka kumfukuza beki 3 mpaka nakosa amani

wewe naye kweli ---- likidinda akili hamna,eti nimekula mzigo mara moja!ukaingia tu pekupeku ndo ulee huyo sweet wako beki tatu na mimba yake,huna kazi?ndo akili zikuvie sasa
 
Umeharibu kijana! Umeshajijua KKB, then unatembea mpeku!
Mmmh! Huwezi kuamua chochote kutokana na u-KKB wako! Ww unapoelekea mkondo ndio huko huko utakapopelekwa!
Nakuonea huruma sana! Afu sjui mwanao itakuaje!
Mi nakushauri tafuta kazi ufanye! Uskae ovyo ovyo tu! Afu unakuja kubana pua apa! Angalia utapotea, aliwaz.......!
Afu unajiamiiiini! Niko kwa broo, mm KKB! Utaliwa!!!!
 
Sitakaa nifuge watu wasio na kazi kwangu tena, hasa hawa vijana wasiojitambua hawa, majanga!
 
Jamani beki 3 anasema ana mimba yangu. Mi mwenyewe kula kulala bure nalelewa na bro sasa sijui nifanyeje? Kwani maisha yanazidi kuniwia magumu ila nilikula mzigo mara moja tu.

Mwenye nyumba amesala, anataka kumfukuza beki 3 mpaka nakosa amani
Pole kaka kwa yaliyokusibu, naona mzee uliamua kuloweka...Ila kama ulipata ujasiri wa 'kumdinya' basi ana kamvuto....Cha kufanya ongea na bro umweleze ukweli wa mambo kabla yeye hajasikia kutoka kwa huyo msichana au mwajiri wake kwani kesi itakua nje ya mikono yako.
Siku nyingine uwe unakaa na 'bulletproof' ili vigoma kama hivyo vikikatiza usipate kesi
 
Jinga sn ww!!km mm nakutimua na ww hata km ni ndg yangu ujinga km huu nyumba za watu mnakaribishwa mkooomeeee fukuza woteee!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Maisha ni mwalimu mzuri hivyo lea huo ujauzito. Changamoto zipo nyingi lkn utashinda kama utaamua kukabiliana nazo na si kuzikimbia. Jitokeze hapo mbele ya familia na mchukue huyo mdada wa watu usiache wakamfukuza au kumrudisha kwao tafuta pa kuishi nae. Maisha hayafanani kwani wengine huanza maisha kwa njia ngumu .
 
Mkuu mbona unashabikia sana mambo ya ngono na matokeo yake?kulikoni!

Sishabikii ngono.
TAYARI KOSA ASHAFANYA.
hata akiambiwa kakosea,haisaidi zaidi ya kuharibu na kumuongezea msongo wa mawazo ambapo anaweza kuwa na uamuzi wa kuhatarisha hata uhai wa kiumbe kisicho na makosa.
HATA MTOTO ANAPOKOSEA KUNA WAKATI MWINGINE HATAKIWI KUAMBIWA AMA KUULIZWA MANA ANAWEZA KUFANYA JAMBO BAYA ZAIDI KWA SABABU YA HOFU NA WOGA.
 
Sawa mkuu nimekuelewa vizuri!
 
Kamati! Na vipi kuhusu ndoa yako ya miaka 4 uliyokaa bila ku-cheat?
 
Tulia kijana, huyo binti mkalishe chini, mweleze kuwa hiyo mimba ina mtoto wako hivyo ni jukumu lenu wote kulea. Na kuanzia sasa unaanza kujipanga kwa ajili ya kulea mtoto na mke, hivyo asihofu mambo yatakuwa swaaaafi. Then msikilize anasemaje kuhusu kufukuzwa hapo kwa bro wako. Kama kwao kunaingilika basi arudi nyumbani wakati wa ujauzito wakati wewe ukitafuta namna ya kujipanga ili muishi wote. Hivi inamaana hufanyi chochote umekaa tu nawewe umezidi aise!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom