Penzi la House Girl limentokea puani!

Penzi la House Girl limentokea puani!

Mtakuwa mmekula wote na faza hausi ila kamba hukatikia pembamba.

Dah! Umenikumbusha mbali sana na kuniliza. Familia iliteketea Kwasababu ya house girl! Baba na watoto wake wawili wa kiume walikuwa wakimchangia house girl mmoja kila mmoja kwa wakati wake bila kujuana, na mmoja wao alipata UKIMWI mahali akauleta nyumbani. Mpaka mama mwenye nyumba alikufa kwa UKIMWI kupitia kwa baba.
 
Sitakaa nifuge watu wasio na kazi kwangu tena, hasa hawa vijana wasiojitambua hawa, majanga!

Imeliona hilo eeeh?
Ndo maana sitaki kuishi na mtu hana direction
Wakikosa kugonga beki tatu wAtakuHaribia watoto
 
Huyu dogo nae.. Alitaka afanye mara ngapi ndio ampe mimba? Mara 1 tu inatosha
 
jamani beki 3 anasema ana mimba yangu. Mi mwenyewe kula kulala bure nalelewa na bro sasa sijui nifanyeje? Kwani maisha yanazidi kuniwia magumu ila nilikula mzigo mara moja tu.

Mwenye nyumba amesala, anataka kumfukuza beki 3 mpaka nakosa amani

wakati unamhemea kifuani ulikuwa unayegemea nn....jipange..
 
ondoka nae mkatafute maisha wote aiseeee!! Raha mlipata wote leo unataka kumkimbia mwenzako aiseeee!!!???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom