Mkuu mchezo wa kitandani, ile ya uwanjani ina wenyeweUpi? Michezo iko mingi sana Mkuu!!!
Mkuu mchezo wa kitandani, ile ya uwanjani ina wenyeweUpi? Michezo iko mingi sana Mkuu!!!
Nilidhani unafahamu ''Ngatara'' ni nini!!! kama hufahamu huwezi unganisha uelewe nilchokua nakusudia uelewe au hakitakua na uzito niliokusudia!!!! Cheers miss ngatara !!!!!
Hili jina la ngatara ni jina la utan alilokuwa anatumia baba yangu, bahat mbaya alikuwa nikiwa mdogo ila jina limebaki tena maarufu lakin sijui maana yake ,niambie maanake kaka
i will come kama Mr Rocky is not aroundAcha wivu mkuu, kuna ant-aging siku hizi ati, miss chagga come this way oooh!!!
Tized hapa atapata mambo ya kinyamwezi, asali na karanga mbichi ndo mid meal yake, raha iliyoje. Tatizo langu sitaki kushare ukipewa tiba nnayopewa utachonga mzinga looh!! Ishia hapo hapo shosti.
kweli mnyamwezi mwezangu kawa JAMVI LA WAGENI mpaka arudi TZ katakua kamesha regea kwa kushugulishwa na mibabu ya kiniga
Tutambambikizia kesi haya ya ugaidi ikibidi na Ntuzu pia
Excel!!! Hata wewe Mkuu? Shemeji miss neddy tafadhali pitiaga uchochoro huu huku!!!
hapo sawa ukishamaliza mchakato nishtue nije kutibiwa
Mkuu hivi ni wewe ndo mlengwa? aisee excel didnt know a thing...
By the way, it was a joke to Nyani Ngabu...
Mr Rocky kuja huku wacha kurara rara tu...
Tized take it as a joke! sawa daktari?
Kazi ipo
Pls get prepared... naomba uniPM majina yako matatu nakuandikia cheque (check) ya vidolari vya kula maisha!!! ukishindwa ntaandika tu ''PAY BEARER'' haina neno utaupata huo mpunga
Hapana chedhea. Mwenyewe wa kwangu na doctor, uuuwiiih. He drive me crazy ooooh