Penzi la daktari tamu jamani

Penzi la daktari tamu jamani

Ohhh yeah!!!... babie hayo usisimulie!!!!
Ni dokta wa binadamu tena bingwa sio dokta tokta tuu pia yuko fit kwenye mapenz, mkiona body structure yake sasa ndo mtashaa, yuko msweet....
 
Men are from Mars you know... Women just from the neighborhood -Venus!!!!
Kasinde penzi jipya linakuzingua, ukweli wa kunasa huwa haupimwa kwa kungonoka ila unatoka uvunguni mwa moyo wa mtu, kwasasa ngonokeni weeee then tupe matokeo baada ya mwaka yaani mrejesho wa thread yako na dr wako wa ngono.
 
Aisee si umeona kwenye post kamentioni Tized na sio Carson!!!! Acha hizo mkuu!!!!
Pamoja na kula ujana kwangu kote hapa nimeweka kituo. Hebu muangalie alivo handsome, hasa hizo mvi ndo zinanimaliza Kasinde mie.
Tized...!!! Bodaboda man you rock baby. Tabasamu la kuibia...... daaahView attachment 179424View attachment 179424[/QUOTE?}

Huyu ni Dr Ben Carson ,Pediatric neurosurgeon of america now he is retired ,,,,,,don't lie to us
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!!! Utaishia kulowesha chupi tu kama ambavyo wadada wengi chupi zinavyowaloa kwa huyu jamaa hapa down:

morris-chestnut-14_240x340_13.jpg
 
Asante sana mkuu Tized lakini kizuri ule na ndugu yako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom