Penzi la daktari tamu jamani

Penzi la daktari tamu jamani

hahahahhaahha ivi kumbe Tized ni Dr??
aya atujuze wenzie ni dr wa mapenzii ama wa binadam ama wa phd?
yasije kuwa yale ya Hadija Kopa na Tx mpenzi wake

Ni dokta wa binadamu tena bingwa sio dokta tokta tuu pia yuko fit kwenye mapenz, mkiona body structure yake sasa ndo mtashaa, yuko msweet....
 
Hahahaaaa acha tu dadaangu gfsonwin, You can't imagine she looks 18!!! Loooh
hahahahhaahha ivi kumbe Tized ni Dr??
aya atujuze wenzie ni dr wa mapenzii ama wa binadam ama wa phd?
yasije kuwa yale ya Hadija Kopa na Tx mpenzi wake
 
Last edited by a moderator:
call box, public toilet, kiti cha basi, nguo ya mtumba!!! majina yote yanakufaa kama ni gari ungekua unasoma kilomita za mbinguni kabisa

Charger ya kobe, battery aina zote - Sony, Nokia, Samsung, LG, BalckBerry, Zte, Acer, Bird, Ericsson, Lenovo, Motorola you name it kasoro iPhone tu
 
''The best way to predict the future is to create it !''
Charger ya kobe, battery aina zote - Sony, Nokia, Samsung, LG, BalckBerry, Zte, Acer, Bird, Ericsson, Lenovo, Motorola you name it kasoro iPhone tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom