Penzi la Bar maid

Penzi la Bar maid

Wadau niko kwenye Hali ya sintofahamu baada ya kumuacha mpenzi wangu mwenye qualities kama zangu (Degree,Cpa t na masters) nimeangukia Penzi la bar maid,familia, marafik,i ndugu hakuna anaenielewa kabisa nikiwaelezea..

Ushauri please...ni sawa mm kumuoa barmaid??
penzi kikohozi
 
Barmaid ni kazi ya kuingiza kipato tu. Kwani K ina masters au phd. Kwa hivo ukiendaga bar ulitaka akuhudumie nani? Tena ungejua hata hata hao masupastaa sijui super models/whatsoever unaowajua ni malaya tu nao mbona tunasikia leo yuko na fulani kesho na yule mtondogo huyu. Aaah ww vp bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom