Penzi la Bar maid

Penzi la Bar maid

Wewe ndio umekosea, kama una nia ya kumuoa kwa nn uwaambie ndugu zako kuwa ni barmaid, ukijua kabisa mindet ya watu kuhusu barmaids, kwa nini husingewaambia ni mfanyabiashara
 
wewe hujioni hata hujielewi una anandika nini? nenda katambikie mizimu ya kwenu utakuwa umelogwa wewe
 
Kwani barmaid sio mtu? acha utoto na kuweka matabaka katika mapenzi hizo degree na masters zako zina kazi gan kitandan
 
Wadau niko kwenye Hali ya sintofahamu baada ya kumuacha mpenzi wangu mwenye qualities kama zangu (Degree,Cpa t na masters) nimeangukia Penzi la bar maid,familia, marafik,i ndugu hakuna anaenielewa kabisa nikiwaelezea..

Ushauri please...ni sawa mm kumuoa barmaid??
KWANI BAR MAID SIYO MWANAMKE??? HIZO KAZI NI MGAWANYIKO TU WA MAJUKUMUU..ACHENI DHARAU... AU KE NA YENYEWE INAKUWA NA DEGREE
 
huyo m
kawaida san kijana muhimu awe salama kiafya,mimi wakat wa ujana nikiwa tingo wa loli za nje niliwah kutelekeza watotot na mke mzuri sana ambaye nilimpata kwa shida sana ikiwamo kwenda kwa waganga,kuhonga ndgu zake na mshoga zake nk nkazamia kwa malaya mmoja likuwa akijiuza pale border tunduma..hakuna liyenielewa katika familia na malafiki
alaya ulioa au ulikua unapooza tuu?
 
Kama hauna ndoto zakuwa mwanasiasa endelea nae na oa tu barmaid wako,lakini kama unandoto hizo jua umepata DOA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom