Penzi kitovu cha Uzembe.

strong ruler

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
4,921
3,305
ImageUploadedByJamiiForums1460101727.170638.jpg
 
Jamaa limepewa hela na mkewe likanunue Meza ya TV,likainywea ulanzi, sasa mama kamwambia wewe ndio utakuwa meza
hamna huyo mwanamke inawezekama ana mimba sasa jamaa akapewa homework ya kuhakikisha anarudi ana meza cha ajabu hiyo homework anatakiwa aifanyie kitaa naona jamaa akafeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom