Uzembe vs Udhaifu

Uzembe vs Udhaifu

Joined
Jul 8, 2024
Posts
7
Reaction score
12
Kuna uzembe na udhaifu na mara kwa mara ninekuwa nachanganya hivi vitu,

Uzembe kuufanya uonekane udhaifu na hivyo nibebwe au ile kuonewa huruma kwamba "ni udhaifu tu"

Lakini kiuhalisia ni uzembe mkubwa

uzembe sasa naona ni pale ninaweza kufanya kitu ili mambo yabadilike na bado sifanyi

Na udhaifu ni pale nafanya kila kitu lakini wapi,

Hivyo badala ya kutaka kutiwa moyo kwa sababu ni mzembe ila ambaye najiona ni mdhaifu,

Inatakiwa nikubali mimi ni mzembe na uzembe wangu kuanza kuutendea kazi

Na nisitafute kubebwa yani ile ya kusema usinifokee, usinitukane, yani kujipangia watu waishije na mimi mzembe

Ukweli tu ni kwamba "nitabaki na uzembe wangu" na hakutakuwepo wa kunisaidia.
 
Katika hali ya kawaida mtu mzembe huwajibishwa na zipo taratibu za uwajibishwaji - hakuna kuhurumiwa. Labda unaweza kupewa Onyo kali kama sehemu ya awali ya kuwajibishwa. kwa uzembe wako.
Na nisitafute kubebwa yani ile ya kusema usinifokee, usinitukane, yani kujipangia watu waishije na mimi mzembe
Mtu mzembe hafai kulelewa. Uzembe ni kosa kubwa linaloweza kugharimu Uhai wa watu wengi kwa pamoja. ref ajali barabarani.
Ukweli tu ni kwamba "nitabaki na uzembe wangu" na hakutakuwepo wa kunisaidia.
Sijui umekusudia nini hapo; lakini Jamii itajitahidi kukufunza ili usiendelee kubaki na uzembe wako. Ref. ule msemo "Asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na Ulimwengu" e.g. dereva anagonga mtu simply kwa Uzembe wa kutoangalia traffic lights halafu anakimbia. Wakimkamata ; huwa lazima achezee kichapo kwanza ndo namna ya kumfunza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom