FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,069
- 40,732
Hii kitu ni addictive kuliko tunavyodhani, we fikiria kila siku watu wanaambiwa madhara ya kutisha ya soda lakini nado wanakunywa, sio kwamba wanapenda kufa, hapana, ila soda ukiacha kunywa ina Arosto kali sana kama Cocaine, ni balaa.Kunyweni soda nyie kufa mtakufa tu
Wapi nimesema ukinywa soda unakufa?Nani alikufa kwa kunywa soda?
Hongera mkuu, tuendelee kupeana moyo, tutafanikiwa na hii kadhia, nimejidhatiti kweli kweliAaaah mi zamani soda nilikuwa nakunywa daily tena 2 au 3 nimeamua kuacha, sasahivi inaweza kupita ata miezi 6 sijagusa soda
Mkuu we acha tu hiyo misoda ila usijekutushawishi tuache minduki...Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Mwezi uliopita nikasema hata ikibidi nife kwa kukosa soda, so be it, ila sinywi hata iweje, ni wiki ya 5 leo sijanywa soda, napitia wakati mgumu sana, ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri.
Tatizo mnakunywa kama maji badala ya refresh drinks tena siyo kwa muda wote.Hongera mkuu, tuendelee kupeana moyo, tutafanikiwa na hii kadhia, nimejidhatiti kweli kweli