Pengo ndio kiongozi wa kanisa Katoliki Tanzania
HUYU ALIITWA MPUUZI AIMTOSHI MUWAAJI KABISA NA wenzakeAskofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .
"naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama
Mytake:
ushauri kwa jamhuri madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na gwajima ili kuipa uzito maaana ya msamaha unless kama jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa Mungu.
chanzo mimi mwenyewe
Mkuu JME, nimekusaidia kidogo kwenye maeneo niliko weka red!, jina rasmi la Pengo ni Muadhama Policarp, Kardinali Pengo.Kunapofanyika makosa, tunatumia sheria mbili, jinai, na madai (criminal na civil), criminal mshitaki ni jamhuri, na kwenye civil mshitaki ni aliyeadhirika!. Kwenye hili Pengo hajashitaki popote hivyo hata akisamehe, msamaha wake haizuii jamhuri kuendelea na uchunguzi wake wa kijinai!.Kanisa Katoliki ni moja ya madhehebu ambayo yako very strict kwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni, na linapokosema na mtu ambaye sii muumini, huweza kutoa msamaha kama huu kirahisi rahisi tuu kwa maana kwa mujibu wa kanisa, huyo Gwajima ni kama mtu tuu wa mataifa hajui atendalo!. Angekuwa ni Mkatoliki ingempasa kuungama, na kupewa adhabu ya kutimiza malipizi!.Pasco
Askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .
KWANINI HAKWENDA KUMWAMBIA KOVA KWAMBA AMEMSAMEHE BADALA YAKE ANAWAAMBIA WAUMINI KWANI WAUMINI NDIO WALIOMSHITAKI GWAJIMA???? UKIWA NA NJAA NA UMIMI UNAWEZA KUFANYA CHOCHOTE USIJE SHANGAA KESHO AKATANGAZA KUWA MAASKOFU WOTE WANATAKIWA KUWA MASHOGA Pengo ni mwanasiasa ndio maana anatafuna nakuyameza maneno yake mwenyewe.
Mwaka juzi zito alisema anaachana na siasa anaenda kuwa mwalimu na akakimbia kabisa hapa jukwaani akahamia twitter leo yuko wapi si jana alikuwa anagombea uongozi? aliwahi kusema mwanasiasa sio mtu wa kuaminika kama yeye unahitaji akili gani kugundua kuwa njaa inaweza ikakushusha suruali? hii ni hatari asante kwa taarifa mkuu
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Dhambi ya matusi itamtesa sana Gwajima.
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .
"naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama
Mytake:
ushauri kwa jamhuri madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na gwajima ili kuipa uzito maaana ya msamaha unless kama jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa Mungu.
chanzo mimi mwenyewe
Ficha ujinga wako kidogo, amemsababishia matatizo, kwani Pengo alienda kumshtaki gwajima police??.
Mkuu Wewe ndio hujui Kabisa Katoriki linongozwaje. Hakuna sehemu yoyote kwenye canon Law inayomruhusu Pengo kuwa juu ya Rais Wa TEC. Kanisa Katoriki linaongozwa kwa sheria zake. Kama hujui unakaa kimya,Rais wa TEC ndio msemaji Wa Kanisa katoriki Tanzania. Pengo ni mjumbe tu Wa balaza kama wajumbe wengine.
Yeye hajaomba msamaha kwa kukwaza watu? Au yeye ni Mungu anayekosewa tu?
Amwambia Pinda amwachie Ngwajima