Pengo: Nimesamehe

Pengo: Nimesamehe

ishia zako mzee
huna lolote mzee
umevurugwa mzee
sikuheshimu tena mzee
huna maana mzee
umejidharaulisha mzee
pampers weee mzee
Saa ya wokovu sema ameeeeeeeen
 
Mkuu hapo mwkt wa TEC kuwa mkuu wa kanisa ni kwl, kardinali ni cheo tu ila sio mkuu wa kanisa

Tuache kujazana ujinga. Kiongozi wa Kanisa mahalia ni Kardinali. Kwa mantiki hiyo Pengo ndio kiongozi wa kanisa katoliki Tz. Ngalalekumtwa ni Rais wa baraza la Maaskofu katoliki.TEC Ni taasisi au ni mkusanyiko wa maaskofu wakatoliki Tz na huwa wanakuwa na kiongozi wao ambae hukaa madarakani kwa vipindi visivyozidi viwili vya miaka 3.
 
Mkuu JME, nimekusaidia kidogo kwenye maeneo niliko weka red!, jina rasmi la Pengo ni Muadhama Policarp, Kardinali Pengo.Kunapofanyika makosa, tunatumia sheria mbili, jinai, na madai (criminal na civil), criminal mshitaki ni jamhuri, na kwenye civil mshitaki ni aliyeadhirika!. Kwenye hili Pengo hajashitaki popote hivyo hata akibsamehe, msamaha wake haizuii jamhuri kuendelea na uchunguzi wake wa kijinai!.Kanisa Katoliki ni moja ya madhehebu ambayo yako very strict kwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni, na linapokosema na mtu ambaye sii muumini, huweza kutoa msamaha kama huu kirahisi rahisi tuu kwa maana kwa mujibu wa kanisa, huyo Gwajima ni kama mtu tuu wa mataifa hajui atendalo!. Angekuwa ni Mkatoliki ingempasa kuungama, na kupewa adhabu ya kutimiza malipizi!.Pasco
Pasco michango mingi inayotolewa humu ni kwa mujibu wa mleta mada ambaye nukuu yake si kamilifu kama Muhadhama alivyotamka. Matumaini yangu ni kuwa radio na tv tuamini watatoa kukamilifu ili watu wajue kwa usahihi kauli yake na kupunguza malumbano yaliyopo hapa.
 
Kwanza anatakiwa atubu kwa dhambi ya mipango ovu aliyopanga na Pinda ya kumtesa Gwajima. Pia amwambie na Kilaini arudishe pesa za escrow zilizoliwa na majambazi wote.

mkuu amwambie kilaini yeye ni nani wa kumhukumu wengine? kazi ya kuhukumu ni ya Mungu pekee .yeye ni askofu sawa na kilaini tofauti yao ni kwamba yeye ni kadinali na askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam ila kilaini ni askofu msaidizi wa jimbo la bukoba .hivyo kilaini mwenyewe anapaswa kujipima mbele ya Mungu na kanisa Kama anastaili kufanya hayo
 
Suala la Gwajima kuhojiwa na vyombo vya usimamizi wa sheria halihusiani na kesi au jalada lolote lililofunguliwa na Askofu Pengo, bali ni utekelezaji wa kusimamia sheria za nchi. Kutukana hadharani ni kosa na unashitakiwa na Jamuhuri, kwa hiyo hata kama Pengo amemsamehe Gwajima hawezi funga jalada lililofunguliwa na Jamuhuri. Tusubiri itakuwaje.

Sahamani mkuu,
nilikuwa nafahamu kuwa mtu hushitakiwa na jamuhuri akijihusisha na murder case, terrorism, treason.... kumbe hadi kutoa lugha ya matusi.

Kwa nini Pengo alifungua jalada polisi badala ya Jamhuri kufanya hivyo yenyewe?

I would like to know plse!
 
Dhambi ya matusi itamtesa sana Gwajima.

mkuu mwadhama hajaita matusi wala kusema chochote wewe unapata wap mamlaka ya kusema ni matusi?.mbele ya Mungu na kanisa yote ni heri sifa na utukufu kwa bwana ndo maana mwadhama kasema amesaheme
 
Mkuu JME, nimekusaidia kidogo kwenye maeneo niliko weka red!, jina rasmi la Pengo ni Muadhama Policarp, Kardinali Pengo.Kunapofanyika makosa, tunatumia sheria mbili, jinai, na madai (criminal na civil), criminal mshitaki ni jamhuri, na kwenye civil mshitaki ni aliyeadhirika!. Kwenye hili Pengo hajashitaki popote hivyo hata akisamehe, msamaha wake haizuii jamhuri kuendelea na uchunguzi wake wa kijinai!.Kanisa Katoliki ni moja ya madhehebu ambayo yako very strict kwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni, na linapokosema na mtu ambaye sii muumini, huweza kutoa msamaha kama huu kirahisi rahisi tuu kwa maana kwa mujibu wa kanisa, huyo Gwajima ni kama mtu tuu wa mataifa hajui atendalo!. Angekuwa ni Mkatoliki ingempasa kuungama, na kupewa adhabu ya kutimiza malipizi!.Pasco


Ndugu Pasco

the way nimjuavyo Pengo binafsi hata asingesema hayo hadharani alimpuuza siku hiyo hiyo...


MTU Kama pengo kwa shutuma za Gwajima he is too old for that ndo maana baada ya kuona govt imet take advantage kwenye hilo jambo kaamua kusema wazi na kwa namna nyingine ni Kama amewaruka viherehere wote wanaohangaika na Gwajima.

Serikali ni bora iachane na propaganda hizi za kijinga kuepusha migogoro isiyo na tija.
 
Last edited by a moderator:
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?

Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.

Namchukia sana Gwajima.Ila ni kweli kuwa mkuu wa Kanisa nchini sio kardinali bali ma-askofu wote wana hadhi sawa.Na anayeonekana kuwa mkuu wao ni rais wa TEC, cheo ambacho ni cha kupokezana.Kardinalı tunaweza kumtafsıri km mwakilishi wa kanisa la Tz kwenye kusanyiko la maaskofu wa Vatican.
 
Yani na wewe kabisa unaenda kwenye ibada ambayo pengo anaiongozwa baada ya kuwasaliti maaskofu?

mkuu kwani usaliti wake unahusiana vip na meneno yanatoka kwa Mungu kupitia kwa baba askofu?
 
Mimi Mkatoliki na mseminary lakini namwelewa zaidi Gwajima kuliko Pengo . Pengo alitakiwa kuomba Wakatoliki wa Tanzania msamaha kwa ushirika wake na CCM kabla ya kusema amesamehe Gwajima .

TISS at work.Wamefanikiwa kuwavuruga wananchi.CCM wanadai wanaotetea matusi ya Gwajima ni wana UKAWA.Wana UKAWA kuna wakatoliki wameumizwa na matusi dhidi ya kiongozi wao wa kiroho.Wana UKAWA walio Wakatoliki sasa wanaanza kujitenga.Mivurugano km hii itaendelea.
 
Blue: They were against the rejection of some of the matters in the proposed constitution.
We may look forward to more backfire against CCM-sponsored Pengo proposed constitution campaign mission. Gwajima may have been implementing a special assignment targeting to mudsling Pengo by aggrieved/displeased colleagues within the TEC. Some quarters amongst the Catholics are construing Pengo as traitor, unruly and unreliable deviant citing the latter's disowning of a prior consented common stand position against establishment of the Khadhi's Courts and a flopped proposed constitution.
As the episode goes on we should expect Pengo crucifix and downfall, which could soon turn him into a Catholic Church unbearable risk/burden.

Let's keep waiting.
 
Mkuu Wewe ndio hujui Kabisa Katoriki linongozwaje. Hakuna sehemu yoyote kwenye canon Law inayomruhusu Pengo kuwa juu ya Rais Wa TEC. Kanisa Katoriki linaongozwa kwa sheria zake. Kama hujui unakaa kimya,Rais wa TEC ndio msemaji Wa Kanisa katoriki Tanzania. Pengo ni mjumbe tu Wa balaza kama wajumbe

na wewe hujui lolote kuhusu katoliki unajua kuhusu katoriki, hahahahahaah
 
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?

Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.

Askofu wa mtaani mwenye akili kuliko Mapengo askofu wa darasani aliyejaa usaliti kama yuda.
 
Kakusaliti wapi? Nyoosha maelezo yako mkuu,
 
Back
Top Bottom