Pengo: Nimesamehe

Kwa nini mtu anayepinga ccm anahojiwa suala la mali anazomilki lakini anaiba iba na kuunga mkono ccm analindwa???
 
Anapaswa kuomba msamaha yeye mwenyewe kabla ya kusamehe!!!
 
Yesu ana mahusiano na papa?

mkuu papa ndiye petro ambaye Yesu alisema wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa na kila utakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa
 
Kesho mtasikia Gwajima kapona, Pengo asisahau tu kurudisha silaha zake za maangamizi.

Hii mijitu huwa inakabidhiwa kwa Lucifer kule Vatican (Ataebisha ushahidi nnao, huwa sikisii) na hutembea na mijinni ile mikubwa mikubwa, si mchezo.

Gwajima vijinni vyake bado viduchu havikuweza kupambana na watoto wa Lucifer.

Cheza na Raia wa Vatican? ushetani mtupu kule.
 
mkuu papa ndiye petro ambaye Yesu alisema wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa na kila utakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa

Ndio ukilaza wenyewe naosema huu, mpaka anakutwana umauti petro hakuwahi kufika italy, unamuhusisha vipi na genge la wahuni lenye makao makuu italy.
 
Cha msingi uwe na ushahidi kweli.
 
huyu pengo vip kamsamehe nani.aeleze kama yeye ni muislamu tujue moja manaake anatetea mahakama ya kadhi atueleze gwajima wamempa nini mpaka alazwe wakatoliki hatumsamehi pengo katusaliti
 

acha kujaribu kuungiza udini wako ukatoliki na majini wap na wap .waislamu ndo hufuga majini
 
Awe makin siku nyingine hawa viongozi wakubwa wa hawa tena sio watu wazuri sana wa kukaa mbali nao saana
 
Kama nilimsikiliza vizuri Kardinali Pengo alisema mamlaka nyingine wanaweza kuendelea na taratibu zao ila yy kamsamehe.

Kumbuka "mpe ya Kaisari yaliyo yake, na mpe Mungu yaliyo yake"
 
huyu pengo vip kamsamehe nani.aeleze kama yeye ni muislamu tujue moja manaake anatetea mahakama ya kadhi atueleze gwajima wamempa nini mpaka alazwe wakatoliki hatumsamehi pengo katusaliti

Kwani wanaokubaliana na mahakama ya kadhi wote ni waislamu.
 
Huu ni upumbavu,kamsabishiaje matatizo,hata kama hakubaliani nae lakini si kumtukana mtu,haikubaliki.

Naona uchizi unazidi kuwa Mkubwa ktk taifa letu. Hebu orodhesha hayo matusi hapa
 
Baada ya kutumia ile programme ya LIWALO na LIWE eti ndo anasamehe!!! .... Hawa vigagula wanajifanya viongozi wa dini wapuuzi sana ...
 

Hivi mnajua kutukana nyie?. Orodhesha matusi hayo hapa.
 

Pale Vatican bibie ndo mwisho wa "mifugo" ya mtume...pale ni gombo tu.
 
acha kujaribu kuungiza udini wako ukatoliki na majini wap na wap .waislamu ndo hufuga majini

Anza na hii:

Catholic scholar Dr. Malachi Martin, formerly a Jesuit professor at Georgetown University and a confidant of Vatican insiders, flatly declared in a New York City interview: "Yes, it's true. Lucifer is enthroned in the Catholic Church."

Martin was also interviewed by The Fatima Crusader, a well-known Catholic publication. He again repeated his allegations, and expressed his dismay and distress that the Catholic institution of which he is a part has grown so decadent and morally reprobate since the Vatican II conference of the 60s. The contention that there are Satanists in Rome is "completely correct" said Martin, adding:
"Anybody who is acquainted with the state of affairs in the Vatican in the last 35 years is well aware that the prince of darkness has and still has his surrogates in the court of St. Peter in Rome."

Satan worship is now rampant within the Catholic Church. High-ranking churchmen are accused of heinous crime against God. The smoke of Satan has entered the very sanctuary of St. Peter's Cathedral in the Vatican. Mind-boggling though it may be, priests and bishops alike are known to have taken contract oaths to serve the devil, signed in their own blood!

Chanzo: Lucifer is enthroned in the Catholic Church. >> Four Winds 10 - Truth Winds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…