Kauli yake ya kisaliti ndiyo mwanza wa mengine.
Mbona yeye hajaomba msamaha kwa kauli yake ambaye imehatarisha uthabiti wa TEC na kanisa kwa ujumla na pia kudharirisha wenzake.
Anaweza kuwa na msamaha lakini hawezi kusamehewa kamwe kwa kupingana na maaskofu wenzake waliotoa msimamo thabiti kuhusu serilkali kujiingiza katiaka suala la kuandaa Mahakama ya kadhi kupitia Bunge lenye Wakritu na Waislamu.
Hawezi kuwa sehemu ya kuvunja msingi imala wa nchi yetu kutoendeshwa kidini na apate msamaha, yeye ndiye awaombe radhi maaskofu wenzake maana amewadharirisha sana.
Hawezi kuaminika kwa hili.
Anaweza kuwa na msamaha lakini hawezi kusamehewa kamwe kwa kupingana na maaskofu wenzake waliotoa msimamo thabiti kuhusu serilkali kujiingiza katiaka suala la kuandaa Mahakama ya kadhi kupitia Bunge lenye Wakritu na Waislamu.
Hawezi kuwa sehemu ya kuvunja msingi imala wa nchi yetu kutoendeshwa kidini na apate msamaha, yeye ndiye awaombe radhi maaskofu wenzake maana amewadharirisha sana.
Hawezi kuaminika kwa hili.
Hii dhambi haitamuacha pengo na unafiki wake
Weweee sasa hapo ndo umefanya analysis ya alosema Pengo contradicting ile taarifa ya pamoja ya maaskofu na umefanya pia analysis ya comment za huyu Lunyungu ? so you count yourself as one of the few Tanzanians, as you put it, wanoweza kufanya analysis?.....poor you!!!
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Pengo nimemdharau sana. kuomba kwake msamaha hakuwezi kusaidia kutibu tatizo la presha alilomsababishia mtumishi wa Mungu, Gwajima. yeye aendelee tu kuitumikia serikali ya CCM halafu mwisho wa siku atavuna alichopanda.
Hebu tujiulize taratibu. Pengo na Gwajima, nani alimtaja mwenzake kwa majina? Kama jibu umelipata, nani amesababisha matatizo kama si aliyetaja jina la mwenzake?Mnafiki huyo, unasamehe vipi baada ya kuona mhusika yupo mikononi mwa polisi na kuhojiwa masuala yasiyohusiana na alichosema juu yake?! Alitakiwa kusamehe hadharani mara tu baada ya Gwajima kutukana, na kumwachia Kaisari aendelee na taratibe zake!!
wauwajiii hawa stype zao wanajua walichotakakumfanyia gwajimahebu tujiulize taratibu. Pengo na gwajima, nani alimtaja mwenzake kwa majina? Kama jibu umelipata, nani amesababisha matatizo kama si aliyetaja jina la mwenzake?
Nasisitiza, pengo hakuwahi kutaja jina la gwajima. Ni gwajima ndiye aliyemtaja pengo kwa majina kabisa. Pengo hajamshtaki gwajima polisi, ni jamhuri tu imeona kuna ujumbe wa matusi unasambazwa kwenye mitandao, na ili kupata ukweli ndipo polisi ikamuita kumuhoji. Pengo hajawahi kwenda kushtaki polisi
Askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam, Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji Gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa Misa Takatifu ya Jumapili ya matawi tarehe 29th March 2015 katika kanisa kuu la ST Joseph Cathedral .
"Naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
Waumini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama.
Mytake:
Ushauri kwa Jamhuri, maadam Mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku Askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na Gwajima ili kuipa uzito maana ya msamaha unless kama Jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa Mungu.
Chanzo mimi mwenyewe.
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
dhambi ya wizi escrow itaitesa ccm mileleDhambi ya matusi itamtesa sana Gwajima.
kituko cha tajiri na maaskiniUdogo wa Gwajima na ukuu wa Pengo tusiupime kwa vigezo na sifa zetu za kidunia za kupeana. Tusubiri siku tukisimama mbele ya kiti kikubwa cheupe, wakati bahari na milima vitakapokuwa vinakimbia uwepo wake. Hapo wafalme wa dunia watakapokuwa wanaomba milima iwafunike. Ndipo Mwenyewe atakapodhihrisha kati ya Gwajima na Pengo nani mkubwa!! Na siku hizi haziko mbali.
Mkuu JME, nimekusaidia kidogo kwenye maeneo niliko weka red!, jina rasmi la Pengo ni Muadhama Policarp, Kardinali Pengo.Kunapofanyika makosa, tunatumia sheria mbili, jinai, na madai (criminal na civil), criminal mshitaki ni jamhuri, na kwenye civil mshitaki ni aliyeadhirika!. Kwenye hili Pengo hajashitaki popote hivyo hata akisamehe, msamaha wake haizuii jamhuri kuendelea na uchunguzi wake wa kijinai!.Kanisa Katoliki ni moja ya madhehebu ambayo yako very strict kwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni, na linapokosema na mtu ambaye sii muumini, huweza kutoa msamaha kama huu kirahisi rahisi tuu kwa maana kwa mujibu wa kanisa, huyo Gwajima ni kama mtu tuu wa mataifa hajui atendalo!. Angekuwa ni Mkatoliki ingempasa kuungama, na kupewa adhabu ya kutimiza malipizi!.Pasco
mkuu kwa mujibu wa canon law zinazoongoza utaratibu wa kanisa hakuna cheo cha mkuu wa kanisa katoliki nchini .ila kuna mkuu wa kanisa katoliki duniani ambaye anaitwa papa hata hivyo cheo hicho anakipata baada ya YESU kuwaambia waafuusi wake petro wewe ni mwamba na juu ya mwamba huu litalijenga kanisa hivyo petro ni mmoja tu ambaye anaitwa askofu wa Roma ambaye ndiye papa hivyo uaskofu ndicho cheo cha mwisho hata papa cheo chake halisi ni askofu mkuu wa roma .hivyo maaskofu ni waandamizi wa mitume .kwa hiyo mwadhama ni askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam na mamlaka yake yanaishia jimboni kwake sio nchi nzima
Udogo wa Gwajima na ukuu wa Pengo tusiupime kwa vigezo na sifa zetu za kidunia za kupeana. Tusubiri siku tukisimama mbele ya kiti kikubwa cheupe, wakati bahari na milima vitakapokuwa vinakimbia uwepo wake. Hapo wafalme wa dunia watakapokuwa wanaomba milima iwafunike. Ndipo Mwenyewe atakapodhihrisha kati ya Gwajima na Pengo nani mkubwa!! Na siku hizi haziko mbali.