hapo kwenye bold anzisha thread yake !
hauwezi kuanza kumjadili Pengo bila kujadili kauli ya Kikwete aliyoitoa kwa viongozi wa dini! Ni kauli ya kikwete ndiyo imesababisha Pengo atoe kauli yake! Sasa swali...kama Kikwete anajawajua ..kwa nini asiwataje wakachukuliwa hatua? Kikwete alisema viongozi wa dini wanajihusisha na madawa ya kulevya.......sasa wewe hebu niambie ..unafikiri kikwete alikuwa anamaanisha dini zipi? au kwa uelewa wako kuna dini za aina ngapii hapa tanzania?
Watu bwana,. Embu mjitahid kuixoma hyo thread hapo then ndo mchangie..
Haya ni matatizo ya kupitia Sunday school. Huwezi kudadisi kitu.
Mimi mpaka sasa naijadili kauli ya Kikwete aliwatuhumu viongozi wa DINI kujitusisha na madawa. sasa mimi najadili mzizi mkuu kwa kulinganisha na Kauli alizotoa Pengo kumjibu Kikwete.
Sasa tunajuwa wazi Pengo ni mkristo. Ndio maana namuuliza kuwa Je UKRISTO ni DINI kama suala la awali kabla kufikia kuijadili kauli zake.
Tuwekeni wazi basi ili tuijadili kauli zake kama sio kimbelembele chake.
Elewa kuwa katiba ya Tanzania inaweka wazi kuwa Tanzania ni nchi na si mkoa wala wilaya. Sasa vipi Bible au hata katekism au Chuo kidogo cha Sala kinasemaje kuhusu Ukristo kuwa ni Dini.
naomba andiko hapo.
Haya ni matatizo ya kupitia Sunday school. Huwezi kudadisi kitu.
Mimi mpaka sasa naijadili kauli ya Kikwete aliwatuhumu viongozi wa DINI kujitusisha na madawa. sasa mimi najadili mzizi mkuu kwa kulinganisha na Kauli alizotoa Pengo kumjibu Kikwete.
Sasa tunajuwa wazi Pengo ni mkristo. Ndio maana namuuliza kuwa Je UKRISTO ni DINI kama suala la awali kabla kufikia kuijadili kauli zake.
Tuwekeni wazi basi ili tuijadili kauli zake kama sio kimbelembele chake.
Elewa kuwa katiba ya Tanzania inaweka wazi kuwa Tanzania ni nchi na si mkoa wala wilaya. Sasa vipi Bible au hata katekism au Chuo kidogo cha Sala kinasemaje kuhusu Ukristo kuwa ni Dini.
naomba andiko hapo.
Hakuna chochote kinacho msumbua huyo mnafiki zaidi ya kununa, nchi hii imepitia mambo mangapi makubwa kabla kanisa lake halijaingia kwenye kampeni za Slaa lakini hakuwahi kuongea kitu lakini tokea huyo padri mwenzake ameshindwa uchaguzi basi ni nongwa tu kila kukicha. Narudia tena Pengo na wenzake wa TEC na wengine wooote waliokuwa wapiga kampeni wa Slaa wamenuna tu ndio kinacho wasumbua, na salamu zao wataendelea kunua hadi 2015 labda wakaze buti kwenye hizo mbinu zao za kupindua serikali halali.
Elewa lengo hapa si kutetea kanisa, bali tunajaribu kuonyosha ulazima wa viongozi kutoa kauli za wazi na thabiti, ni ukweli usiopingika kuwa kuna uozo ndani ya kanisa, hapa nchini na sehemu nyingine duniani, lakini katika hili tunaangalia namna madai yalivyotolewa kama ilikuwa ni sahihi au lah.....Dunia si mgando bali hunyumbulika...mambo huenda yakibadilika kutokana na mazingira na changamoto mbalimbali...
Tusijidanganye ila ukweli ni kuwa kuna mmomonyoko mkubwa wa maadili nchini ambao hata kanisa halijasalimika...nani asiyeona hivi sasa baadhi ya viongozi wa makanisa wakiwapora waumini wao fukara hata kidogo wanachokimiliki kwa visingizio mbalimbali vya kumtumikia Bwana.. wakati ukweli ni kuwa wazibinafsisha mchana kweupee na kuishi km wapo peponi...hata makasisi wengine wakijifananisha na marais kwa staili zao za maisha..
Tazama wanaposafiri na misururu ya magari ya kifahari na mabody guards lukuki sijui kwa kuhofia nini...life style ambayo haikupata kuonekana enzi ya Mwalimu.na kwa hilo kwa vile lipo kwenye magwanda yao viongozi wa dini hawalioni na hawana sababu ya kulikemea!.
Wasichokifahamu wengi tena kwa maksudi ni kuwa viongozi wa dini wanaotuhumiwa kuhusika na madawa ya kulevya ni tishio kwa ustawi wa makanisa kongwe kwani licha ya kunyofoa kondoo wake wengi, hatua zao za kasi katika 'maendeleo ya duniani' inaathiri kwa namna moja ama nyingine mustakabali wake.
Hawezi kuelewa, mtandao wa kanisa Catholic ni mpana sana, umefika mbali hata pale wananchi ambapo hawatambui utaifa wao na pale ambapo hawajawahi guswa na mikakati ya serikali kwa wananchi. Na hawezi elewa kuwa mtandao wa Catholic unaanzia katika ngazi ya mtu mmoja moja, familia na kuzidi kupanda, ni ufupi tu wa fikara unaowafanya watu hao wafikiri kuwa kanisa Katoliki lilimfanyia kampeni na kumsaidia Dr. Slaa, wanaumba matukio yasiyo na viugo wala umbile, na kujaribu kutengeza historia ambayo haijawahi kuwepo.Natofautiana nawe kuhusu fikra zako kwani ni potofu. Iwapo Pengo na TEC wangempigia kampeni Dr Slaa hakika Kikwete asingeshinda. Mtandao wao ni mpana na waumini wao wanawaheshimu na kuwasikiliza sana. Fikra hizi potofu ndizo pia alizo nazo Kikwete. Lakini nadhani ni suala la kuwa na upeo mdogo tu na kutoweza ku-reason vizuri.
Mie nimefanya research ndogo na kugundua kwamba Kikwete alizoa kura nyingi kwenye maeneo ya Wakatoliki kuliko Dr Slaa. Angalia Jimbo La Peramiho ambako karibu asilimia 90 ya wakazi wake ni Wakatoliki. Kule Kiikwete alipata kura zaidi ya asilimia 80. What does it mean?
Watanzania hawapo kabisa kwenye UDINI anaoueleza Kikwete na wafuasi wake.
ʞontɹact Sniper;2364433 said:.
Hawezi kuelewa, mtandao wa kanisa Catholic ni mpana sana, umefika mbali hata pale wananchi ambapo hawatambui utaifa wao na pale ambapo hawajawahi guswa na mikakati ya serikali kwa wananchi. Na hawezi elewa kuwa mtandao wa Catholic unaanzia katika ngazi ya mtu mmoja moja, familia na kuzidi kupanda, ni ufupi tu wa fikara unaowafanya watu hao wafikiri kuwa kanisa Katoliki lilimfanyia kampeni na kumsaidia Dr. Slaa, wanaumba matukio yasiyo na viugo wala umbile, na kujaribu kutengeza historia ambayo haijawahi kuwepo.
.Hebu tufafanulie hapo kwenye nyekundu tukupate. Una maana gani kwa kusema hawezi elewa mtandao wa wakatoliki ni mpana sana. Mpana sana ukiucompare na nini?
Mkuu wangu nadhani sasa mnakwenda kinyume na mnataka kutetea vitu ambavyo havina kichwa kabisa.Kaanzishe thread ya kujadili udini, hapa tunajadili thread ya Kikwete mbele ya maaskofu katoliko wote Tanzania kwamba viongozi wa dini ni wauza unga. Kaambiwa ataje majina ya wauza unga hadi leo kimya. Hii ya kujadili udini si mahali pake maana nikikuambia Mtume muhamad alifukuwa dini ya ukristo na kwenda kinyume cha maadili ndipo akaenda kuanzisha uislamu utaenda kutafuta jambia kunikata kichwa, Hahahaha wajameni tujadili yanayojilia tusiingize udini hapa si mahali pake.
Haifunguki!Download pdf ktk website hiyo niliyokupa then you will have the right to comment on Pengo...labda mjadala utaishia hapa
.Haifunguki!
Mkuu ni vigumu sana kumtetea kikwete katika hili! Na assume wewe ni mtu mzima . Kauli aliyosema kikwete siyo uwongo ila haikuwa sehemu yake kutoa kauli kama ile! Watu tunajiuliza hivi kama Pinda au hata Kikwete mwenyewe angekuwa amealikwa kwenye tukio muhimu la jumuiya ya kiislam halafu akawambia mashehe ..baadhi yenu mnajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ...unafikiri mashehe wange perceive vipi hiyo kauli?Mkuu wangu nadhani sasa mnakwenda kinyume na mnataka kutetea vitu ambavyo havina kichwa kabisa.
Pengo sii mwanasiasa na wala yeye sii msemaji au msimamizi mkubwa wa viongozi wa dini nchini iwe Uislaam, Ukristu na hata Ukristu peke yake. Pengo ha-represent viongozi wa madhehebu ya dini isipokuwa dhehebu lake, hivyo kama anazungumza azungumze ktk maswala yanayohusu kanisa lake..
Pili, Nakumbuka vizuri sana JK aliposema maneno hayo hayakupokelewa vizuri lakini Mkuchika alikuja na kusherehesha hoja nzima akisema wapo viongozi wa dini ambao tayari kesi zao zipo mahakamani..Sasa mnaitaka list gani ya viongozi wa dini ikiwa hamja check na mahakama?
Kwa hiyo JK hakuwa na sababu wala haja ya kuwataja viongozi wa dini ikiwa viongozi ambao tayari wameisha funguliwa mashtaka. Na hata huku majuu Viongozi wa serikali huja tembelea baadhi ya sehemu na kuwambia vijana waache kushiriki na kuuza unga lakini sijawahi kusikia ati wananchi hao hao au kiongozi wao akilalamika kwa kiongozi ampe majina ya watuhumiwa. Ili afanye nini?.
Yaani JK akimpa Pengo majina ya wauza Unga yeye Pengo atafanya nini?.. maanake twende mbele tukirudi nyuma ya kuwa sioni sababu ya Pengo kumtaka JK awataje wauza unga wakati yeye mwenyewe hana mamlaka yoyote ya kuwakamata au kuwahukumu. hawa ni viongozi wetu wa dini tunawaomba wabakie ktk kazi zao. JK ni rais wa Watanzania wote wenye kuamini dini zote hivyo hotuba zake zinamhusu kila Mtanzania..
Haya ya Pengo kuingilia uongozi wa nchi ndio washawishi wakubwa wa Udini nchini na kitendo cha Pengo kumtaka JK awaseme ndio maana mada hii imefikia mahala watu mnatukana dini zetu mnaifanya kufuru kwa jina la Pengo nma kama Pengo asingeyasema haya, matusi yote nayoyasoma humu yasingekuwepo..
Shukran sana tena hapa ndio mfano wako unaleta maana kabisa.. Kama Pinda au Mkapa angekuwa ktk sherehe ya kiislaam kisha akawaambia Masheikh waache kujihusisha na biashara za madawa ya kulevya.. mkuu wangu, Usingesikia Muislaam hata mmoja akipiga kelele kwa sababu sisi waislaam hatuna daraja la ubora wa mtu (binadamu) mbele ya Mungu isipokuwa mitume. Sheikh na mimi hatuna tofauti yoyote ya kimatendo isipokuwa tofauti ni kwamba yeye kasoma dini na kakabidhiwa mamlaka ya kuongoza zaidi ya hapo kila mmoja anabeba msalaba wake..Mkuu ni vigumu sana kumtetea kikwete katika hili! Na assume wewe ni mtu mzima . Kauli aliyosema kikwete siyo uwongo ila haikuwa sehemu yake kutoa kauli kama ile! Watu tunajiuliza hivi kama Pinda au hata Kikwete mwenyewe angekuwa amealikwa kwenye tukio muhimu la jumuiya ya kiislam halafu akawambia mashehe ..baadhi yenu mnajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya ...unafikiri mashehe wange perceive vipi hiyo kauli?
Nakumbuka mzee Ali Hassan Mwinyi alichapwa kofi na kijana mdogo tu wa kiislam..kisa..? ..mwinyi anahimiza matumizi ya condom..!
Kikwete alitakiwa atoe hiyo kauli kwenye sehemu ambayo ni neutral mathalan kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi...!
Ndiyo , Pengo ha represent madhebu yote ya dini isipokuwa dhehebu lake na ndiyo maana anasema Kikwete awataje hao wahusika kwa sababu Kikwete mwenyewe alitoa shutuma hizo akiwa kwenye sherehe ya kumsimika askofu wa dhehebu lake(roman catholic). Na hii kwa kweli hata kama wewe ungekuwa upande wetu ungetaka raisi awataje ijulikane ni akina nani ili wachukuliwe hatua ...kwa kufanya hivyo itasaidia kuondoa hali fulani ya kuona kama ametuchafulia jina la dhehebu letu!
Kuna post huko nadhani kwenye issue ya maandamano ya kumpinga kikwete marekani...nadhani ulisema kwamba hayo maandamano hayatasaidia kitu ila sisi wenyewe hapa(TZ) kila mmnoja wetu kwa nafasi yake akipinga huo ufisadi ..ndiyo ufisadi utapungua...!
Sasa hapa unasema nini? Pengo afanye kazi yake ipi? Mimi nadhani ni wajibu wake pia kupinga ufisadi ukiwemo wa madawa ya kulevya.
Sidhani kama Pengo anaingilia serikali au anasababisha udini! Angalia mwenyewe thread yote utagundua ni nani badala ya kutoa hoja anaanza kwenda udini! Hiyo hali siyo hapa tu ..ipo hata kwenye mihadhara tunayoisikia kila siku ...watu badala ya kufundisha mambo mazuri ya dini yao utakuta wanatukana dini za watu ...wanakashfu. ..kwenye radio ..magazeti nk..watu wanasambaza cd za uchochezi..imefikia mahali mpaka watu wanatoa matamko ya kutaka tanzania igawanywe pande mbili..za waislam na wakristu..! Kama wakristu wakianza kufanya hayo mambo mnayofanya wenzetu kwa kasi ,ari na nguvu hiyo hiyo, amani ya nchi hii itatoweka muda mfupi sana!
nakushukuru mkuu kwa kuchangania bila jazba...!
Mkuu wangu nadhani sasa mnakwenda kinyume na mnataka kutetea vitu ambavyo havina kichwa kabisa.
Pengo sii mwanasiasa na wala yeye sii msemaji au msimamizi mkubwa wa viongozi wa dini nchini iwe Uislaam, Ukristu na hata Ukristu peke yake. Pengo ha-represent viongozi wa madhehebu ya dini isipokuwa dhehebu lake, hivyo kama anazungumza azungumze ktk maswala yanayohusu kanisa lake..
Pili, Nakumbuka vizuri sana JK aliposema maneno hayo hayakupokelewa vizuri lakini Mkuchika alikuja na kusherehesha hoja nzima akisema wapo viongozi wa dini ambao tayari kesi zao zipo mahakamani..Sasa mnaitaka list gani ya viongozi wa dini ikiwa hamja check na mahakama?
Kwa hiyo JK hakuwa na sababu wala haja ya kuwataja viongozi wa dini ikiwa wapo viongozi tayari wameisha funguliwa mashtaka. Na hata huku majuu Viongozi wa serikali huja tembelea baadhi ya sehemu na kuwambia vijana waache kushiriki na kuuza unga lakini sijawahi kusikia ati wananchi hao hao au kiongozi wao akilalamika kwa kiongozi ampe majina ya watuhumiwa...Ili afanye nini?.kama sii kukataa kwamba vitendo hivyo havipo lakini ukinipa majina ndio nitaamini..
Pengo anakataa asichokijua , na hivi JK akimpa majina ya wauza Unga yeye Pengo atafanya nini?.. maanake twende mbele tukirudi nyuma ya kuwa sioni sababu ya Pengo kumtaka JK awataje wauza unga wakati yeye mwenyewe hana mamlaka yoyote ya kuwakamata au kuwahukumu. hawa ni viongozi wetu wa dini tunawaomba wabakie ktk kazi zao. JK ni rais wa Watanzania wote wenye kuamini dini zote hivyo hotuba zake zinamhusu kila Mtanzania..
Haya ya Pengo kuingilia uongozi wa nchi ndio washawishi wakubwa wa Udini nchini na kitendo cha Pengo kumtaka JK awaseme ndio maana mada hii imefikia mahala watu mnatukana dini zetu mnaifanya kufuru kwa jina la Pengo nma kama Pengo asingeyasema haya, matusi yote nayoyasoma humu yasingekuwepo..
Ingia google search...then andika(the secret terrorist organisation) web zatazofunguka...click yenye pdf by bill hughesHaifunguki!