Bendera ya Bati
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 279
- 375
Yaani jinsi avator yako ilivyo kaa kaa kinafiki nadhani inasadifu jinsi ulivyo...!Kwani ni lazima awataje yeye rais, Pengo kwa kuwa ni kiongozi wa hao viongozi wa dini kwa nini asiwataje maana na yeye anawajua, huku mtaani tunawajua.
kazi kubwa..! sasa wewe umeshindwa nini kuelewa niliposema wazungu wanaiita hiyo kitu insanity...nilitegemea unge relate moja kwa moja na kiingereza! Ninajua wazungu wana lugha nyingi tu lakini hapa tanzania tuna mazoea ya kusema kiingereza kama kizungu... kwa sababu lugha kubwa ya wazungu inayozungumzwa hapa tanzania ni kiingereza ! hebu google hili neno 'kizungu cha kuombea maji' !Sasa wewe msomi uchwara Akili yoke yote imejaa Pushkin whisky!
Eti wazungu wanaita Insanity huyu msomi uchwara anadhani wazungu wote wanaongea Kingereza!
Hizi nchi ni za wazungu, Belgium, Germany, France, Russia, Portugal, Poland, Netherlands, kwa uchache tu nimekutajia hawa Insanity hawajui ni nini. Teh teh teh teh
wape busara mkuu!ʞontɹact Sniper;2363557 said:.
Ujauzito wa mwanamke ni jambo la kiasili sana ni matokeo ya mahusiano yanayopelekea kuzaliwakwa kiumbe kipya, ambacho ni mwanzo au muendelezo wa kukua kwa taasisi familia, taaisisi ambayo ni muhimu katika ustawi wa jamii yoyote kama itatunzwa na kulelewa katika maadili mema.
Ni jamii na familia ambayo viongozi hawa wa dini wanatarajiwa kuotesha mafunzo na mbegu za uadilifu. Hivyo katika kuifahamu unapaswa kufahamu namna mimba inavyotungwa, na utalijua hilo kwamsaada wa sayansi, na hatua mama mjazito na ujasiri wake utalifahamu tu kwa kuwa wewe ni sehemu ya jamii.
Na ufahamu wa huo juu ya mama mjamzito haukwepeki kwasababu halihitaji elimu ya darasani, bali unahitajika kuwa sehemu ya jamii tu.
Ni urithi usiokwepeka.
Tanzania inataka viongozi thabiti kama hawa siyo Mkuu anakwenda kwao na maneno ya kusadikika,angesema ukweli,mbona Nyerere alikuwa anaongea wazi wala haogopi mtu.
<br />
<br />
kama sio msafi ndio tunataka kikwete aseme pengo siyo msafi sasa au anamuogopa?
Nilifikiri kopo lina kitu ndani yake.INA MAANA PENGO ALISHAWAHI AU ANAO WATOTO? MWANAMKE MJAMZITO KAMWONA WAPI? SI MUOE JAMANI...YA NINI KUJITESA NA KUCHAFUA MASHUKA USIKU...UNAJUA USIPOLALA NA MWANAMKE MIAKA MINGI UNAATHIRIKA KISAIKOLOJIA? HUYU MZEE AMEATHIRIKS KISAIKOLOJIA NAMSAMEHE BURE
Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kikwete katamka kuwa viongozi wa dini wanahusika na biashara ya madawa ya kulevya halafu kasemea kwenye shughuli ya wakatoliki. Mbaya zaidi kaambiwa awataje hadi sasa anazungukazunguka. Hata kama kanuna sababu ya urais lakini hii hoja isingeachwa ipite hivi hivi kwa kuogopa kuambiwa umenuna.
Haya sasa tunasubiri tamko toka BAKWATA. Tuone upande wa pili nao wanasemaje kuhusu jambo hili.?
Kwani hao viongozi ni mitume?, mbona bado mmenuna, mlitaka mtajie mkatajiwa sasa mnabaki na nongwa tu. Mwambieni Pengo atanuna hadi lini, ajipange upya kumtafuta padri mwingine yule wa mwanzo hauziki.
Sijui kichwani kwake kuna nini?
nyinyi watu kwa kweli mnachosha sana.....sasa hiyo link hapo juu ndiyo nini? mada inasema 'Pengo amtolea uvivu kikwete'!
Usilazimishe wote tuwe na utumwa wa kununa, uchaguzi mwingine 2015 sasa hivi tujenge maendeleo.
mmmhh...sikulaumu tena nimekumbuka kuwa sio kosa lako bali ni la wazazi wetu kwa kutupeleka madrasa badala ya
shuleni...hivi uliwezaje kuingia humu...kwani ni kipi ambacho huelewi mpaka uandike offpoint kiasi hiki...!!!!!..au basi soma
alichokujibu sweke34..LABDA UTAELEWA KIDOGO..hapa juu,,
hapa mimi naona tatizo la wale wote wanotetea kauli ya Pengo ni wale waliopitia Sunday school na wao kwa sababu walikatazwa kudadisi na hata kuuliza kwani kwa kufanya hivyo wanakuwa hawana roho mtakatifu.Hao ndio waichilamu bana!! Mnajua jamani madarasa yaliwekwa ili watu wasome wafute ujinga. Sasa kama utayaangalia madarasa kama mama mkwe ndo utajikuta unatukana badala ya kujadili hoja, unajadili watu badala ya kujadili hoja. Yaani ukisoma hii thead mwanzo mwisho utagundua wanaotuangusha (Watanzania) ni kina nani na ni kwasababu gani. Tujadili hoja kwa kuzingatia matakwa ya utawala bora ya Transparency and Openness otherwise kama umechoka si lazima kuandika upuuzi wako humu ambao hata wenye akili na elimu ya kutosha ambao ni wa imani yako wanakushangaa.
nyinyi watu kwa kweli mnachosha sana.....sasa hiyo link hapo juu ndiyo nini? mada inasema 'Pengo amtolea uvivu kikwete'!
angalia links nilizoziiweka hapo chini....je ni halali kusema jumuiya yote ya waislam inajihusisha na huo uchafu ambao uko kwenye hizo links kwa sababu al shaabab na al qaeda wanajihusisha na huo uchafu?? tubaki kwenye mada!
Drug trafficking, kidnapping fund al Qaeda « Drug Busts Worlwide
Opium production in Afghanistan - Wikipedia, the free encyclopedia
Al Qaeda and Opium | The Canyon - Malibu, California
Holy War - Al Qaeda's Luton & Dunstable War front: Heroin: The Golden Sword of Jihad
Piracy ransoms funding Somalia insurgency | Reuters
| Ex-Congressman: U.S. Government Created Al-Qaeda, Involved In 9/11Author of San Francisco Chronicle piece warning of internment camps says government bombed its own citizens |
| Paul Joseph Watson Prison Planet Friday, February 22nd, 2008 |
hapo kwenye bold anzisha thread yake !nami namshukuru sana mungu kwa kutonipeleka Sunday school kwani huko nisingeruhusiwa kuuliza masuala yaliyoenda shule kama hili kwani ningeuliza tu ningeambiwa SINA ROHO MTAKATIFU.
Suala langu linarudi pale pale Je kuna sehemu sehemu yoyote inayosema UKRISTO ni DINI. Kwani hata ukisoma katiba inasema wazi kuwa Tanzania ni nchi na nikisoma Katiba ya Znz inasema Znz ni nchi na hivyo kuitofautisha na mkoa ama wilaya.
Qur'an imenena uislam ni Dini na nimekupa andiko vile vile kuonesha Uyahudi ni Dini. sasa vp Ukristo?
Tuanzie hapo kabla kurudi kumjadili pengo na kauli zake