Pengine serikali ya CCM imechanganyikiwa

Mkuu alihitajika mtu kama Makonda kufufua chama maana Chama kililoose popularity na wanachama walipungua kwa 30%
Kwa hiyo chama kina upungufu wa wasomi hadi kitafute mtu kama Daudi Albert Bashite aliyeghushi vyeti vya Paulo Makonda?

Sitashangaa DAB akiitwa pia Dr Makonda soon 😁

Only in 🇹🇿
 
Kwa hiyo chama kina upungufu wa wasomi hadi kitafute mtu kama Daudi Albert Bashite aliyeghushi vyeti vya Paulo Makonda?

Sitashangaa DAB akiitwa pia Dr Makonda soon 😁

Only in 🇹🇿
Hiyo nafasi sio uwaziri Ndugu kwamba unahitaji usomi..Inahitaji mtu anayejua kuongea na kutetea hoja za chama ili kujipatia au kuongeza popularity ya chama nisingeshangaa hata kama angapewa Steve nyerere au kama angepewa shilole kwa sababu sio lazma uwe msomi kushika nafasi hiyo mbona NAPE ALIWAHI KUSHIKA 🤣🤣
 

Hiyo ni sehemu ya mikakati yao:

Kujikomboa kutoka CCM, uwe tayari kujitoa ufahamu
 
Daudi hajui kuongea, ni heri hata Haji Manara, yaani Manara angeisaidia CCM ila si huyu Daudi.

Ktk kuongea tu Manara peke yake ni sawa na kina Daudi hamsa
 
ile miaka mia moja ya manguli wa sheria za mkataba wa dipi weldi imepotelea Mbeya au USA?
 
Nape + Makonda = mchafuko ndani ya chama na serikali.
 
CCM imepwaya sana kwa sasa, hilo genge la MSOGA halina mvuto kwa watu.

Bado POLEPOLE..na BASHIRU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…