Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

uvaaji wa vyupi ni anasa kwanza haina kazi yoyote mwilini
kweli elly nasaport eti wengine wanavaa hata usiku wakati wa kulala ... For what? Kuchezea tu rasilimali...
 
Chupi huwa tunaidharau lakini ina mdomo mkali
Chupi chafu na inayotoa kharufu mvaaji naye ni mchafu
Chupi yenye mikato ya kike nayo huongea kwa kike-kike
Chupi hiyo huitwa "brief" na mvaaji ana taswira ya kike
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

Chupi kama kaptura hii yaitwa "Boxer"
for real men.
Chupi hiyo huficha mapaja kuashiria si lolote lile.
Chupi ya "Brief" hutukuza mapaja na haimfai dume.
Chupi ya "Boxer" kauli yake ni kuwa mvaaji ni kidume.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

Kama chupi havai basi naye huyo ni kioja kitupu!
Kama chupi havai suruali kwake ndiyo chupi yake!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo jamvi!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo taulo!
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

"Boxer" ni funga kazi na mwanaumme apaswa kujivunia.
"Boxer" imeshinda hata wadada waionapo wamkubali mvaaji.
"Boxer" hujivunia mwandani wa mvaaji na hata kumzawadia.
"Boxer" ni ghali dukani lakini jipinde uinunue na kuimiliki.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme mvaaji pia!

hahaaaaaa.....mkuu kuna siku tutakuvika nishani kwa umahiri wa mambo haya ya mashairi na tenzi za rohoni
 
Hahahaaaa acha tu nimegombana na wifi yako hadi basi, haiwezekani hata kidogo mtu avae tight, chupi, sijui na nini tena, si kumaliza sabuni tu jamani? Kwanza upepo ni mzuri kwa afya
kweli elly nasaport eti wengine wanavaa hata usiku wakati wa kulala ... For what? Kuchezea tu rasilimali...
 
afadhali leo umekuja kivingine rutashubanyuma kwani TASNIA YA MAPENZI inakupiga chini sana kijana,boxer ipo poa hata mi navaanga kwana inanifaya niwe freeeeeeeeee!!
 
Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................
Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL
Kweli dunia darasa... nimepata somo hapa, ngoja niaachane na haya mambo ya kizungu nikatafute na mimi likaputura niache mjomba ajimwayemwaye LOL
 
Boxer" for real men. by Rutashubanyuma
[MENTION]
Manyanza[/MENTION] uume hauwezi kupunguzwa na saizi ya nguo unayovaa....................ingekuwa hivyo basi shemu zote za miili yetu zingelipungua kwa sababu ya nguo tunazovaa.............
 
mimi sivai kabisa cause hata sijui faida ya chupi ... navaa tu siku za hatari...

Smile.............mpango wa ute huogopi ukidondoka hadharani kama zege?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom