Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

dah! Mkuu kwenye Chupi White hapo inategemea na mazingira unayoishi na sehemu unayofanyia kazi...
Nilishawahi kua na hizo chupi kama piece 30, lakini kwa mazingira ya Dar na nilikua bado denti.. Nilikua natupa moja baada ya nyingine..maana hata kuzianika nje nilikua naona soo... Kitu boxer bana... Ukinunua zile quality nzuri kuanzia elfu 10 na kuendelea utaenjoy... Unazifua vizuri na unazianika nje bila wasiwasi.

Manyanza unakuwa na nyeupe chache za appointment............gals like men in white boxer..........kwa hiyo ukimvalia hiyo anaona umemjali na ataamini wewe unajipenda ................
 
Last edited by a moderator:
......dahhh, ......acha niendelee na "Long John" zangu, sijui unanitafsirije lakini kilichofunikwa 'kimesitirika'....;)
 
ruta bora umesema wapone! Habari ya kutuvalia machupi ya njano au yenye strips za rangi tofauti tofauti anhaa haina mvuto jamani! hebu wajifunze kua gentlemen..
 
Last edited by a moderator:
mtambuzi umeniacha hoi. jamani ebu tuwe wakweli kabla ya boxer watu walivaa nini? Vijijini watu hawavai chupi wala boxer wanakata mbuga hivyo hivyo. Ni vizuri kama una hela ukavaa, kama huna hela we twanga likaputula la babu Mtambuzi nani anakuona

Caroline Danzi..................nawe uwe mkweli ki-kabisakabisa....................kumbe unajua ni muhimu mwanaumme anapoonekana basi avaee boxer.........sasa kwa nini ajitese na kuptutura kisa haonekani..................Khebu ongea kilichoko moyoni njemba yako si ungelipenda akikuvalia chupi ya boxer kulikoni akikujia na kaputura tena inanuka................
 
Last edited by a moderator:
ruta bora umesema wapone! Habari ya kutuvalia machupi ya njano au yenye strips za rangi tofauti tofauti anhaa haina mvuto jamani! hebu wajifunze kua gentlemen..

Purple.......................lakini nayi mnachangia kwa nini hamuwasemi kuwa zinawaboa?
 
Last edited by a moderator:
......dahhh, ......acha niendelee na "Long John" zangu, sijui unanitafsirije lakini kilichofunikwa 'kimesitirika'....;)

Mbu kimesitirika vipi na huku kinatoa kharufu............na wakti ukifika ni lazima maji uyavulie nguo ili uayoge tatizo unayemvulia inabidi uwe mtupu na hiyo kufuli yako ya ajabuajabu aione.............
 
Last edited by a moderator:
chupi nyeupe ni nzuri kwa kina dada maana huvutia labda boxer nyeupe kwa mwanaume ni nzuri sana..

rangi nyeupe kwa ujumla inaondoa khofu ya uchafu kujificha na hata kama upo ni rahisi kuuondoa......
 
Chupi huwa tunaidharau lakini ina mdomo mkali
Chupi chafu na inayotoa kharufu mvaaji naye ni mchafu
Chupi yenye mikato ya kike nayo huongea kwa kike-kike
Chupi hiyo huitwa "brief" na mvaaji ana taswira ya kike
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

Chupi kama kaptura hii yaitwa "Boxer"
for real men.
Chupi hiyo huficha mapaja kuashiria si lolote lile.
Chupi ya "Brief" hutukuza mapaja na haimfai dume.
Chupi ya "Boxer" kauli yake ni kuwa mvaaji ni kidume.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

Kama chupi havai basi naye huyo ni kioja kitupu!
Kama chupi havai suruali kwake ndiyo chupi yake!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo jamvi!
Kama chupi havai suruali yake sasa ndiyo taulo!
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme pia!

"Boxer" ni funga kazi na mwanaumme apaswa kujivunia.
"Boxer" imeshinda hata wadada waionapo wamkubali mvaaji.
"Boxer" hujivunia mwandani wa mvaaji na hata kumzawadia.
"Boxer" ni ghali dukani lakini jipinde uinunue na kuimiliki.
Pengine hujui lakini chupi humsema mwanaumme mvaaji pia!
Je mkuu nazile zimeandikwa TMK nazo zinahusika hapa japo ni Boxer??napita je nimalize swali la mwisho na zile za mtumba lakini ni original Ulaya je nazo zahusika??Yote yayote namalizia nenda Shop za wazungu,Masaki seaclf,Slipway nakwingine kama huko ila kulikobaki utavaa nylon za mchina!!
 
Ila kiukweli sisi ni wavivu sana kufua kila siku hizo boxer!!
 
Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL
hahahahah..yaani nimcheka mpaka basi, haya we endelea na likaptula lako ulilolizoea! no comment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom