HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
Ndugu jamaa na rafiki napenda kuuliza jambo kuhusu mahusiano eti mapenzi ya kweli ni
PESA
MOYO ??
PESA
MOYO ??
PESA
MOYO ??
MoyoPenzi la kweli ni lipi? Tuanzie hapo
Nimeipenda hiyoKwangu mie ni moyo, pesa huisha bhana na ogopa upendo wa pesa asikudanganye mtu
Basi sawa! Pesa tupa kulee...Moyo
moyo muachie ben paulo.... mapenzi pesa either we kwenye dunia ya kuhonga au ukae kwa wanao hongwa.

mzee wa maji ya uhaiha ha ha ha yale maneno tu mama hayana ukwel wowote. hapa dasan na sparkling tumzee wa maji ya uhai
ha ha ha ha yale maneno tu mama hayana ukwel wowote. hapa dasan na sparkling tu

ila nimekumiss aiseeMie hapa nyan'ganyan'ga ki ukwel miss u pia mama....ila nimekumiss aisee
Kamoyo kadogoooooooookamoyo kwanza