Pendo la kweli linajali Pesa au Moyo?

Pendo la kweli linajali Pesa au Moyo?

Mapenzi ni kama nyumba ya kuishi, hivyo moyo unasimama kama jengo na pesa ni kama madirisha yanayoingiza hewa mjengoni.
Na jengo bila hewa ni kama godown, kiumbe lazima atafute upenyo ili aenjoy maisha.
Huwezi tenganisha vitu hivyo katika mapenzi.
Vizur sana
 
Back
Top Bottom