Kwangu mie ni moyo, pesa huisha bhana na ogopa upendo wa pesa asikudanganye mtu
ahahahh nakuja fasta![]()
![]()
![]()
fanya ukuje tukatafute maji ya uhai
Nakusubr kwa hamu mnoooahahahh nakuja fasta
nisubiri bony nipo njianNakusubr kwa hamu mnooo
Hufik tu mama mpka sa hv au ndio mahind ya kuchomanisubiri bony nipo njian
Sana tu dogo.Mbona jibu lipo wazi.
Pesaaa
nakuja nipo njian kuna foleni sanaHufik tu mama mpka sa hv au ndio mahind ya kuchoma
nisubili bhana halaf ata sijui nakuja wapi ila nipo njianMmmh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Njoo inbox nkupe gugo mapnisubili bhana halaf ata sijui nakuja wapi ila nipo njian![]()
Moyo
Pesa,kwa upande wangu mwanaume asiponipa pesa najua wazi hajanipenda na anapo pa kuzipeleka,ambako ni kule alikopenda...