Pendekezo: Tuunde Jimbo la Bulyankulu badala ya Jimbo la Msalala

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
JIMBO LA MSALALA(kahama) liwe JIMBO LA BULYANKULU.

Kwa kuwa tuna jimbo jingine linaloitwa Msalala kanda ya Mwanza. Hivyo Msalala ya kahama ni vyema sasa ikawa Bulyankulu.

Halmashauri ya BULYANKULU badala ya Halmashauri ya MSALALA.

Deogratius N Kisandu
ACA

Ijumaa Kuu Njema Wanakahama.
 
Back
Top Bottom