Pendekezo: SLAA APEWE UKUU WA WILAYA?

Pendekezo: SLAA APEWE UKUU WA WILAYA?

Uwezo wa Dr. Slaa upo juu sana, ingekuwa enzi za ukoloni wangemfanya kama Mkwawa. Baada ya kufa wangechunguza fuvu lake kuona kama ni mtu wa kawaida au la! Anadeserve kuwa presida na sio vinginevyo.
 
@jeykeywaukweli,this man if very dull as you can see ana weka ishu kama hyo ktk jukwaa la jokes na udaku then na nyie mnajisumbua kuchangia,hamuoni kama anafanya utani na kama angekuwa yupo serious angeweka ktk jukwaa linalohusika,let we ban that puppet ,to hell apotee zake,
 
Ili kutibu majeraha ya Dr Slaa na wanachadema napendekeza DR Kikwete kumpa Ukuu wa wilaya Dr Slaa

Wewe unapendekeza apewe cheo gani?

Una mke? Mpe mkeo akufundishe namna ya kumtunza na kumpenda mke. Kama huna basi mpe dadayo, akimalizana naye ama utakuwa umepata heshima ya kutembea na mwanamke ambaye Rais mtarajiwa anamjua au utakuwa shemeji wa Rais mtarajiwa!

Umesikia wewe mbuzi?
 
Back
Top Bottom