Nikuhadharishe ndugu yangu,
kwenye Siasa hakuna cha heavy weight! Nijuavyo mimi hata akigombea hatashinda kwani hakuna atakae kuwakilishwa na wale wenye sifa ya kuwaletea vurugu na maandamano ya kila mara yasiyo na tija. Majimbo yote kwa sasa yanayoongozwa na wenye kupenda vurugu wananchi wamechka na wana waasa wanachi wengine wasiingie kwenye kubahatisha kwa kukichagua chama chenye maslahi na vurugu!
Da wakuu hata marehemu hajazikwa tunajadili mrith,haaaaahha cdm hamna busara mara zote
Jamani subirini ndugu yetu Sumari azikwe kwanza, mbona kwa Regia hatukuanzisha threads za mwelekeo huu?
Weka mifano hai mama tau,kama wapi vile hayo unayo adithia yamejiri???naona kama ni hadith njoo,uwongo,ukweli potea vile...ebu niwekee mifcano hai nami nisipigie kura tena iko chama cha vurugu,maana jimboni kwangu naona iki chama kila kukicha wafuasi waongezeka,watoto wakimaliza shule za secondary wanatiririka tu,na wanavyuo wafanyakazi ndio usiseme,sasa sijui hawa wenzangu wanapenda vurugu zaidi ya maendele....elimu yao walisoma ili wanufaike na vurugu badala ya maedeleo nini?Nikuhadharishe ndugu yangu,
kwenye Siasa hakuna cha heavy weight! Nijuavyo mimi hata akigombea hatashinda kwani hakuna atakae kuwakilishwa na wale wenye sifa ya kuwaletea vurugu na maandamano ya kila mara yasiyo na tija. Majimbo yote kwa sasa yanayoongozwa na wenye kupenda vurugu wananchi wamechka na wana waasa wanachi wengine wasiingie kwenye kubahatisha kwa kukichagua chama chenye maslahi na vurugu!
?rais atakiwi kugombea ubunge
Waache wafu wakazike wafu wenzao. maisha ni lazima yaendelee.Da wakuu hata marehemu hajazikwa tunajadili mrith,haaaaahha cdm hamna busara mara zote
Mkuu mimi naamini matendo yetu hapa duniani ndio yatafanya tupumzike kwa amani huko tuendako na si kwa maombi ya wanadamu,kwa hiyo hata mzee sumary matendo yake ndio hukumu yake,na si kwake ni kwa wanadamu wotetumuombee marehemu sumari apumzike kwa amani. huyu nassari aliyegombea ubunge mwaka jana simfahamu vizuri lakini vishindo vyake nilivisikia. hebu turushieni statistics za matokeo ya ubunge arumeru mashariki mwaka jana.
Hizo ni fikira potofu, hata Mrema aliwahi kugombea Urais akapata kura nyingi tu lakini sasa ni Mbunge; kwa hiyo hakuna cha ajabu kwa Dr Slaa kurudi jimboni na kugombea Ubunge.
unachekesha kweli.rais wa tff au wa chama cha maaskofu.
Acha mawazo ya kichawi.Yaani bila haya unamlinganisha Dr Slaa na huyo limbukeni wa TLP?
Jamaa Mzushi sana wewe. Dr Slaa amekuwa Mbunge tangu mwaka 1995 na Arfi ameingia Bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2005 halafu unasema Arfi alikuwa anaitesa CCM wakati Dr Slaa bado hajulikani? Labda wewe ndio ulikuwa humkui lakini Patrick Tsere wa Karatu anamfahamu vizuri sana. Wazo la Slaa kugombea Areumeru halikubali, sio muafaka, ni kichochezi na linaashiria agenda binafsi kama sio uoga wa nguvu zake anazoelekeza kuijenga CDM. Hebu rudi kaendeleze hoja yako ya Mrithi wa marehemu Regia Mtema hapa umechemsha sana
umewahi ku take trouble ya angalau kuidurusu katiba tuliyonayo?au ni katika wale wanaotaka tu katiba mpya bila ya kwanza kuijua hii tuliyonayo nayo iko vipi na mapungufu yake...hoja yako hapo inakudharirisha sana na kukuonyesha ni mtupu sana kwenye suala la kujisomea hususan katiba!mwambie JK aache urais aende akagombee ubunge arumeru ili akaongeze nguvu ya kupambana na Tundu Lissu bungeni.
Hii itamvurugia mikakati yake 2015. Nafasi ni kubwa sana ya kuchukua nchi.
Mhe wizi wa kura uwa upo,mimi binafsi nilishawai kushiriki kabla sijaokoka,mimi naamini unaleta utani,hao unaowataja kuwa mbona wanashinda uwa wanashinda kwa kiwango kikubwa ambacho hata kamati za ushindi/wizi haziwezi kubadili kitu,si rahisi kubadili kura za tofauti ya 5000!lakini kama ni ndani ya 1000 uwa wanaweza kubadili,kumbuka wizi unaotumika ni wa aina nyingi sana,si wakuchomeka kura tu,upo wa aina nyingi mfano kuharibu kura za upinzani kurubuni mawakala wa upinzani na kuandika idadi ya uongo kuendana na kura zilizopigwa nyingine ni kununua shahada kabla ya uchaguzi,kama utapinga yote hayo utakuwa umeamua kubisha tu.
Pole Magamba mbinu yako imejulikana peupe.Rudi kwa Nepi mwambie wale watu wamenishtukia
kama ameweza mboe kwa elimu na uelewa wake atashindwa Lema bwana,tuache kudanganyana hapa!hivi unamjua mboe na historia yake?ana tofauti gani na lema au sugu?Lema ana uwezo mdogo sana wa kujenga hoja zenye logic za kisomi na kutoa structured arguments kutetea kile anachodai, hivyo si sahihi kabisa kumuweka kundi moja na Dr.SLAA, LISSU au Zitto. Lema ana siasa za ufuasi zaidi kwa maana ya kuwa na upeo mdogo!