Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

Chadema kufuata ushauri wa magamba na antiChademas ni sawa na Hawa kukubali ushauri wa shetani na kula tunda la mti wa kati!
sawa sawa, kuna fumbo kubwa sana ndani yake, wakifuata ushauri wao tu magoli mia ndani watafungwa within a second.
 

Ndio mana cc tulioliona mapema hilo tukapendeza the heavy weight politician mr.wilbroad slaa aingie pale mwenyewe pale,sasa hawa vijana wanapiga piga mayowe oooh rais hawezi kugombea ubunge!kile kiti ni muhimu sana kwa chadema kudhihirisha nguvu zake kanda ya kaskazini sio kilimanjaro tu!
 
acheni uoga mbona mrema aliweza temeke tena akamshinda mzawa na mtu wa mjini vile vile!


Chadema hatufanyi siasa za copy and paste, tena mtu mwenyewe wa kuigwa ni mamluki Lyatonga Mrema!

Nakukumbusha tena hatuishi katika historia, wakati huu mambo mengi yamebadilika sana na strategy za kisiasa lazima zibadilike pia.
 

mkuu nilivyoanza kusoma nkajua unataka Dr. agombee jimboni, nilivyoendelea nikakuelewa vibaya mno, hakika ELairline haiwezi kushindana angani na ndege ya Dr. (sijui kifupisho tuiiteje.)
 
CCM bana, mnataka akagombee ubunge ili mkampoke ushindi wake kwa nguvu ili muhalalishe kushindwa kwake kwenye kura za urais, ujanja wenu tumeshaujua.
"kushindwa kwake" kwenye urais upi tena wa 2015 au?
 
MKuu si lazima kupima viti CDM ilivyoshinda au kushindwa,.. uwepo wake katika kampeni mbalimbali umepelekea Kusababisha nyufa zaidi ndani ya chama tawala.
 

is ccm a role model of chadema?
 

Kwa ubunge sawa, kwa Uraisi ataharibu mnoooooooooooooooo! Siombei apate Uraisi asiwepo wa kumwongoza manake ana vinyongo mno!
 
mkuu nilivyoanza kusoma nkajua unataka Dr. agombee jimboni, nilivyoendelea nikakuelewa vibaya mno, hakika ELairline haiwezi kushindana angani na ndege ya Dr. (sijui kifupisho tuiiteje.)
Kamwe hiyo haiwezi kuwa sawa,Dr asimamie kampeni tuu kumuonyesha Lowassa Jeuri yake, hiyo inatosha
 

tatenaneeeeeeei!
aisee ww kweli hoja hamna, yaani unataka tu wadhihirishe nguvu yao kwenye kanda km atashinda au una sababu nyingine?
 

Chadema haifanyi siasa za kuiga cuf na nccr mageuzi. Kila uchaguzi tunapanda kwa idadi ya wabunge, hiyo itoshe kukuonyesha kwamba tuko tofauti na hao wengine.
Hata chama kilichopo madarakani hakiridhiki sembuse sisi? Tunakuja kimkakati hatukurupuki, hatimaye mtakubali tu.
 
"kushindwa kwake" kwenye urais upi tena wa 2015 au?

2010 Dr. ndo alipata kura za kutosha kuweza yeye kuwa rais badala yake tume ikamtangaza JK na hatimaye akaapishwa kuwa ndo rais, mnataka Dr. akagombee ili mumpoke suhindi wake kwa nguvu jimboni ili muhalalishe kura za lile dafu pale magogoni. ndivyo au sivyo?
 
Kamwe hiyo haiwezi kuwa sawa,Dr asimamie kampeni tuu kumuonyesha Lowassa Jeuri yake, hiyo inatosha

nakubaliana na ww kabisa, japo mashaka yangu yapo kwenye hiyo nguvu ya EL ambapo nasikia mwenyekiti wa tume ni shemeji yake, so bado inaweza ikawa shida kulinganisha nguvu ya Dr. na EL kwenye kampain.
 
Kama ndiko kunakomfaa si dhambi kumwambia hivyo.
Maana kwa mwaka 2015 sijui kama atapata hata alizopata
2010.

oooh! VGL, mmejiandaa kuiba kura zake zaidi au?
 

Mnafiki utamjua tu. we kwa mapenzi gani kwa CDM mpaka utushauri kwa dhati? hizo trick zako za kitoto warudishie masaburi wenzako huko magambani. DR SLAA NDO RAIS WA TANGANYIKA.
 
tatenaneeeeeeei!
aisee ww kweli hoja hamna, yaani unataka tu wadhihirishe nguvu yao kwenye kanda km atashinda au una sababu nyingine?

Zumbe wa Muheza,

Huyo bi. Shosti ameishiwa hoja sasa ameanza viroja. Lakini usiwe na shaka, kama unavyofahamu tuko hapa kuwasaidia hawa watoto wanaojifunza siasa kwa usimamizi wa ofisi ya lumumba.
Twende nao taratibu hatimaye watajitambua tu!
 
Hiyo ya kushindwa mimi siiamini sana,ok pengine labda tunatofautina,mimi ni mpiganaji huwa siamini katka kushindwa bali kushinda tu.Na hii haitakua mara ya kwanza kwa heavy weight wa aina ya slaa ambae ni national figure kwenda jimbo lingine na kushinda,alifanya hivyo mrema,licha ya serikali nzima kuhamia temeke kumhami sisco mtiro lakini kwa kuwa kura ni siri mrema alishinda,achaneni na maneno ya kitoto ya wizi wa kura,wananchi wakiamua ushinde utashinda tu.Rejea uchaguzi wa tarime kumrithi chacha.

Kwa nini naamini slaa atakua bora zaidi ya mbowe bungeni?jibu lake ni tofauti wa ELIMU na ufahamu wa wawili hawa,katika hivyo viwili mboe na dr ni sawa sawa na kulinganisha kifo na usingizi,mboe ni kama usingizi tu kwa kifo(slaa),na elimu ni jambo muhimu sana nadhani wote hapa tunakubaliana ya kwamba mwenye elimu zaidi ana maarifa zaidi.Sitaki kusema sana hapa namstahi mwenyekiti.Nadhani naeleweka,watu wazima nyie.

Kijana joshua kama yuko kwa ajili ya chama ataitwa na wazee kina makani watamuelewesaha ataelewa tu kama alielewa zitto na ukaidi wake wote tunaojua akamuachia mbowe uenyekiti itakua joshua!ndio mana kuna wazee,wazee ni grisi kazi yao ni kulainisha chuma kinapopata moto.kumsimamisha mtu kama joshua kwa nyingi lenye interest za mafisadi kama arumeru is a disaster!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…