Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,994
- 1,770
kweli hata mimi nina wazo hilo ila je sheria inamruhusu??maana aligombea urais huyu
Wapendwa wa Chadema,
Mimi naomba Dr Slaa awanie ubunge Arumeru kusudi arudi Bungeni kuweka nguvu mpya
Mbona Shibuda, mbowe,mrema na mwandosya walihi kugombea huo Urais wakadunda wakaenda kwenye ubunge
I dont think if it is worthfull for Dr now.Wapendwa wa Chadema,
Mimi naomba Dr Slaa awanie ubunge Arumeru kusudi arudi Bungeni kuweka nguvu mpya
Mkuu mwacheni Dr Slaa afanye kazi ya kuimalisha chama kwa mipango ya baadae, tena azidi kuwapika wabunge vijana ili CDM iwe na mvuto kwa sera zake!!!!!!Maendeleo ya nchi hii yanahitaji mabadiliko makubwa sio bungeni peke yake bali na kukijenga chama kujiandaa kwa uchaguzi ujao!!!!!Wapendwa wa Chadema,
Mimi naomba Dr Slaa awanie ubunge Arumeru kusudi arudi Bungeni kuweka nguvu mpya
Mkuu mwacheni Dr Slaa afanye kazi ya kuimalisha chama kwa mipango ya baadae, tena azidi kuwapika wabunge vijana ili CDM iwe na mvuto kwa sera zake!!!!!!Maendeleo ya nchi hii yanahitaji mabadiliko makubwa sio bungeni peke yake bali na kukijenga chama kujiandaa kwa uchaguzi ujao!!!!!
Who is slaa? Mbona mnamkuza wakati mwizi wa wake za watu tu. Mtu ana umri ule bado anabea wake za watu
pale bungeni Lissu anawatosha saana. Dr imarisha chama tunachukua nchi 2015 watake wasitake.Wapendwa wa Chadema,
Mimi naomba Dr Slaa awanie ubunge Arumeru kusudi arudi Bungeni kuweka nguvu mpya
kweli hata mimi nina wazo hilo ila je sheria inamruhusu??maana aligombea urais huyu
Who is slaa? Mbona mnamkuza wakati mwizi wa wake za watu tu. Mtu ana umri ule bado anabea wake za watu
wakina nani sasa ambao watake wasitake nchi mtachukua !pale bungeni Lissu anawatosha saana. Dr imarisha chama tunachukua nchi 2015 watake wasitake.
Mbona Shibuda, mbowe,mrema na mwandosya walihi kugombea huo Urais wakadunda wakaenda kwenye ubunge
Una uhakika gani kama Slaa akigombea lazima atashinda?, manake umeandika as if akigombea lazima ashindeWapendwa wa Chadema,
Mimi naomba Dr Slaa awanie ubunge Arumeru kusudi arudi Bungeni kuweka nguvu mpya
Keshachoka kisiasa huyu..
Kwa sasa tunahitaji dam mpya za zenye nguvu bungeni na kwenye ulingo wa siasa!
Dr. Slaa majukumu aliyonayo kwa sasa ni zaidi ya kuwa mbunge, kasi ya uwajibikaji na umahiri wa wabunge wa chadema unayoiona ni kutokana na kazi nzuri ya kuwapika wabunge hao inayofanywa na Katibu Mkuu wa chama Dr. Slaa, kuna kazi kubwa zaidi ya hiyo?
Una uhakika gani kama Slaa akigombea lazima atashinda?, manake umeandika as if akigombea lazima ashinde
Who is slaa? Mbona mnamkuza wakati mwizi wa wake za watu tu. Mtu ana umri ule bado anabea wake za watu