Pendekezo: Serikali ya Tanzania ifanye Mabadiliko kwenye Minority Age law.

Wangapi wamefikisha hata miaka 30 bila kuolewa?
Zile mila za kizamani zimeisha.
Hiyo sasa ni probability!ila watakuwa na haki ya kufanya hivyo ,yaani watakuwa huru kuingia mkataba wowote ule wanaoona unafaa.hata kuacha shule na kufungwa pia si wana maamuzi?sharti yaheshimiwe na jamii.
 
Back
Top Bottom