Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Kwa kawaida, Raia yeyote mwenye miaka 18 nakuendelea huruhusiwa kushiriki uchaguzi yani anahaki ya kupiga kura na kuchagua kiongozi anaye muelewa. Hii ni kawaidi hata kwenye nchi zingine zilizoendelea na huu utaratibu umekuwepo toka zamani.
Ila tunabidi tutambue kuwa dunia ni dynamic yani mambo yanabadilika kila siku. Kijana wa miaka 18 wa sasa huwezi mlinganisha na yule wa karne ya 19. Sasa hivi unakuta kijana anamiaka 17 yupo chuo (university au collage). Zamani wa miaka 18 unakuta hajamaliza hata darasa la saba. Wenzetu china mtu anapata degree ya kwanza akiwa na miaka 18 sasa. Kwahyo aliingia college akiwa na miaka 14.
Uwezo wa kufikiri na kujitambua kwa vijana wa sasa sio kama wa kipindi kile. Sasa kijana ni mdogo anauwezo wa kufanya mambo makubwa. Hata elimu pia imeongeza mental capacity ya vijana wa karne ya sasa.
Miaka 18 ndyo hutumika kama general minority age kwa dunia nzima. Lakini kunabaadhi ya nchi wameanza badili minority age law. Kwa mfano Albania sasa ni miaka 14. Napel ni 16.
Ningependa kutoa wito hata kwa serikali yetu kulitazama hili swala. Serikali ipunguze minority age angalau hata mpaka miaka 15. Kijana mwenye miaka 15 wa kitanzania anakuwa tiyari na elimu ya secondary. Mtu wa hivi anajitambua vizuri sana. Naimani kwa serikali yenye nia nzuri ya kuwekeza kwa vijana ambao ni taifa la kesho italitazama hili swala kwa jicho la tatu.
Kijana wa miaka 15 anauwezo wakupiga kura na kuchagua kiongozi amtakaye.
Hivyo hivyo ningependa pia kutoa pendekezo kuhusiana wale wenye umri ulioenda yani "Old Age" au "senescence" ikimaanisha kundi la wale waliofika stage ya mwisho ya maisha yao. Kwa kawaida nchi nyingi za africa old age huanzia miaka 60 nakuendelea. Wenye miaka 60 hadi 69 ni "early old age". 70 had 79 ni "middle old age" na 80+ ni "oldest old age"
Kwa hali ya sasa watanzania wenye miaka 70 nakuendelea anakuwa kaisha choka kweli si kimwili hata kiakili. Kuna sheria kwa mfano zile za mikataba zinatoa consideration kwa watu wenye umri ulioenda. Hawa unakuta wanakuwa considered kama vile wanalack mental capacity to contract.
Kama mahakama inawakonsider wale wazee hasa waliopo kwenye middle old age nakuendelea kama wanalack "mental capacity" to contract kwanini serikali nayo isiwachukulie nao pia kuwa hawana mental capacity kama minor age ambao hawaruhusiwi kupiga kura?
Nacho taka kumaanisha hapa ni kuwa vijana wapewe uzito mkubwa kuliko wazee kwenye mambo ya kitaifa kama kwenye uchaguzi wa viongozi wao. Vijana ndyo taifa la kesho. Wazee wao hawanamalengo yeyote zaidi ya kusubiria siku yao na kuingia kaburini.
Nawakirisha hoja. Karibuni tuchangie mawazo.
Update.
Wenzetu wakenya wameanza huu mchakato pia. Leo bunge limejadili.wanataka kushusha hadi 16.