Anajua kazi zake na ukomo wa madaraja yake?Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda
Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
Nope. Bado ana jukumu zito ArushaKutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda
Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
Endelea kusubiri Akita future, utasubiri sana.Kapuuza wapi anatafuta namna ya kumtoa kama Kitwanga na pombe hahahahaha
Unajidanganya sana mkuuNani kakudanganya kuwa kunamabadiliko? . Hakuna mabadiliko yoyote. Makonda kaletwa na Mungu na ni Mungu tuu ndie atamtoa.
Kama ni kuhusu hizi tuhuma, hakuna kitu hapo kwa sababu Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Na pia tumeisha mpongeza Magufuli kwa kuzipuuzia Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
Labda kama Makonda angekuwa ni mtu mwingine tuu, lakini kwa vile ni...
Mtasubiri sana! .
Paskali
Nani kakudanganya kuwa kunamabadiliko? . Hakuna mabadiliko yoyote. Makonda kaletwa na Mungu na ni Mungu tuu ndie atamtoa.
Kama ni kuhusu hizi tuhuma, hakuna kitu hapo kwa sababu Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Na pia tumeisha mpongeza Magufuli kwa kuzipuuzia Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
Labda kama Makonda angekuwa ni mtu mwingine tuu, lakini kwa vile ni...
Mtasubiri sana! .
Paskali
Huyu nae vyeti vyake fake aliwahi fanya kwenye supermarket na mdogo wangu...kazi yake ilikuwa ni kufuta bidhaa na kuziweka kwenye shelves...ameiba saana products kupitia kwa walinzi mpaka akatimuliwa...bora ya Bashite pamoja na kughusi vyeti lakini huyu ni zaidi ya mwizi...Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda
Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
Naunga mkono hojaDar aletwe RC Mzee kama Sadick au Ole Sendeka au amlete Zambi
tehe tehe tehe tehe hapo umemaliza mamboHiyo dar apewe Gwajima
Basi Ateuliwe Godbless Lema au Tundu Lissusie tunataka maendeleo sio siasa za mwendokas kutwa kupambana na upinzan na kuzindua viwanda vya AZAM tu
jiji la biashara hli linahtaji mtu atakayetutoa kimaendeleo!
atakayeleta mapinduzi ya kweli kwenye kuleta maendeleo! sio blabla