Pendekezo: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gambo amrithi Makonda

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda

Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
 
Na yeye akileta fujo yataibuliwa madudu yake tu. Mkoa wa Dar sio wa mchezo mchezo, asidhani ataleta fujo kama anazofanya Arusha. Hata akiletwa afanye mambo kistaarabu na kwa heshima. Acjazwe ujinga na wanaomzunguka maana hawatokuwepo kumsaidia pale maji yatakapomfikia shingoni.
 
Dar inajitaji kiongozi msomi na mwenye hekima!
Dah inawatu wooote wanaoifanya inchi iitwe Tanzania! Sasa haitakiwi iongozwe Kwa sifa na kutokufuata sheria! Huyo unayemsema Hana Busara hata kidogo! Ni bora Mara mia jiji la dar angepewa mzee kinana
 
Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda

Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
Nani kakudanganya kuwa kunamabadiliko? . Hakuna mabadiliko yoyote. Makonda kaletwa na Mungu na ni Mungu tuu ndie atamtoa.
Kama ni kuhusu hizi tuhuma, hakuna kitu hapo kwa sababu Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

Na pia tumeisha mpongeza Magufuli kwa kuzipuuzia Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
Labda kama Makonda angekuwa ni mtu mwingine tuu, lakini kwa vile ni...
Mtasubiri sana! .
Paskali
 
Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda

Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
Sikiliza wewe namjua Gambo vizr hapa inaweza kuwa njia ya kutumbuliwa ili naye atembee na bahasha kaki kutafuta kazi
 
Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda

Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
Sophia Mjema. Hatafuti kiki hata siku moja. Sijui alizaliwa wapi, lakini ame kulia dsm, amezunguka nchi mbali mbali, msomi vyeti vyake sio fake na ni mwanamke. Siku ya wanawake tunaomba mh. Rais ampe nafasi hiyo huyu mama. Some leaders are born others made, huyu amezaliwa na kipaji cha uongozi.

Nb. She has integrity.
 
Back
Top Bottom