Pendekezo: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gambo amrithi Makonda

Pendekezo: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gambo amrithi Makonda

Hapa makonda ndio anapaweza tu
Tumechoka na wakuu wa mikoa wazee
 
Sophia Mjema. Hatafuti kiki hata siku moja. Sijui alizaliwa wapi, lakini ame kulia dsm, amezunguka nchi mbali mbali, msomi vyeti vyake sio fake na ni mwanamke. Siku ya wanawake tunaomba mh. Rais ampe nafasi hiyo huyu mama. Some leaders are born others made, huyu amezaliwa na kipaji cha uongozi.

Nb. She has integrity.
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Tanga yule mama Mhandisi.Ni mchapakazi sana.
 
laiti makondakta angetoka kaskazini nadhan hadi mda huu tungesha msahau kwenye media ila kwakua anatoka zile zile kanda za mkuu wa kaya imeundwa tume tusubiri majbu;
yani hii nchi wanafunzi hewa,, wafanyakazi hewa, malipo hewa, teuzi zake pia hewa, mi nadhani hata yeye pia ni...........
 
Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda

Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
Aje tu ila akija vibaya na kujazwa ujinga na kina Le mutuzz atafyatuliwa kama mwenzake na uzuri data zake zipo
 
Akija yule Dsm ndo hata mwaka hauishi atamfata mwenzake kulima
 
Darisalam ya wasomi mnataka kuongozwa na ma professor tu kina bashite mmewagomea
 
Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda

Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika

AKija ajiheshimu amasivyo tutalianzisha lile la kumtukana Wakili wa serikali
 
sie tunataka maendeleo sio siasa za mwendokas kutwa kupambana na upinzan na kuzindua viwanda vya AZAM tu


jiji la biashara hli linahtaji mtu atakayetutoa kimaendeleo!
atakayeleta mapinduzi ya kweli kwenye kuleta maendeleo! sio blabla
maendeleo ya namna gani unayoyahitaji !? Tuanzie hapo.
 
Nani kakudanganya kuwa kunamabadiliko? . Hakuna mabadiliko yoyote. Makonda kaletwa na Mungu na ni Mungu tuu ndie atamtoa.
Kama ni kuhusu hizi tuhuma, hakuna kitu hapo kwa sababu Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

Na pia tumeisha mpongeza Magufuli kwa kuzipuuzia Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
Labda kama Makonda angekuwa ni mtu mwingine tuu, lakini kwa vile ni...
Mtasubiri sana! .
Paskali
duh! we jamaa mnafiki kweli unang'ata na kupuliza kusubiria uteuzi sio?
 
Back
Top Bottom