Pendekezo: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gambo amrithi Makonda

Pendekezo: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gambo amrithi Makonda

Lemutuz anaweza mbona mnataja waliowahi kuwa kwani ambao bado hawawezi Lemutuzi anaweza
 
Dar inajitaji kiongozi msomi na mwenye hekima!
Dah inawatu wooote wanaoifanya inchi iitwe Tanzania! Sasa haitakiwi iongozwe Kwa sifa na kutokufuata sheria! Huyo unayemsema Hana Busara hata kidogo! Ni bora Mara mia jiji la dar angepewa mzee kinana
We jamaa una jicho la tatu aisee
 
Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda

Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
Ajiandae hapa si mchezo
 
Nani kakudanganya kuwa kunamabadiliko? . Hakuna mabadiliko yoyote. Makonda kaletwa na Mungu na ni Mungu tuu ndie atamtoa.
Kama ni kuhusu hizi tuhuma, hakuna kitu hapo kwa sababu Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

Na pia tumeisha mpongeza Magufuli kwa kuzipuuzia Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
Labda kama Makonda angekuwa ni mtu mwingine tuu, lakini kwa vile ni...
Mtasubiri sana! .
Paskali
Kapuuza wapi anatafuta namna ya kumtoa kama Kitwanga na pombe hahahahaha
 
akija dar aje kwa heshima,adabu na taadhima...!!Dar ameikuta na ataiacha Mwenye Dar yake Makamba tu
 
Dar anatakiwa aletwe mtu mzima mwenye akili timamu na busara!!! Ambae ana uthubutu lakini hekima tele na busara!! Atapaweza
 
Kutokana hali ilivyo sasa, nafasi ya mkuu wa mkoa Wa Dar soon inakuwa wazi na atateuliwa mtu mwingine kuendeleza nafasi atakayoondolewa makonda

Jinsi jiji lilivyo, mkulu amtupie RC wa Arusha bwana Gambo huyu ndiye ataiweza na kuifanikisha Dar es salaam inayohitajika
... Kwa nini usiseme wewe unaweza pia? Au wewe huna mchango wowote hapa duniani bali unafikiri all 50 plus Tanzanian wenye uwezo ni wawili tuu?
 
Mkuu anapofikiria nani wa kumteua aiongoze Dar,anapaswa kufikiria changamoto za kiuchumi na nafasi ya Dar katika uchumi wa nchi,then achague mtu sahihi.
Lakini akiwaza kisiasa tu,kutafuta mtu wa kukimbizana na mameya wa Ukawa,n.k hapo itakula kwake tena.Kila mwaka atateua mkuu mpya wa mkoa Dar.
 
Sikiliza wewe namjua Gambo vizr hapa inaweza kuwa njia ya kutumbuliwa ili naye atembee na bahasha kaki kutafuta kazi
Kama ni hivyo watakuwa hawaitendei haki Dar.Yaani Dar igeuzwe sehemu ya kutegea watu wasiotakiwa ili waharibu uongozi watimuliwe?Dar imekuwa mkoa wa majaribio?
Kwani huko kwa govt kuna toilet paper zimewekwa zitumike kwa malengo fulani halafu ziflashiwe chooni?
 
Makonda akitolewa Dar, basi hapo atateuliwa kutoka kwenye kundi la JAMBO AFANDEE!!!
 
Mrisho gambo hana busara hana tofauti na makonda
 
Back
Top Bottom