Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
- Thread starter
- #21
Mwanakijiji katika ubora na utata wake,sikubaliani na wewe unaposema mbowe na lissu wasigombee ubunge kwenye majimbo yao,hapo ni sawa na kuzidi kuwaongezea viti ccm bungeni na kuendeleza ile mikelele ya ndiooooooo.
Kwa nini katibu mkuu aombwe radhi?(is this personal?)
Unaongea as if lowassa akiweza kuwa rais atatawala kwa ilani yake ya mfukoni na sio ya chadema!!!!
Woga ulionao kwa lowassa ndio nilionao na mimi,but sometimes we have to take risks.
Sasa kina Mbowe na Lissu na wengine wamechukua risk gani? Kama kweli wanaamini Lowassa atasaidia kuing'oa CCM basi waweke rehani Ubunge wao pia. Siyo?