Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

waraka mzuri ila uliowaandiki ndo hivyo tena. watu hawataki kusikiliza wachache walitofauti na wao. wanaona kutofautiana ni usaliti.
kawaida anayetofautiana na wakubwa ni muasi. hata ww humu ushaitwa mfuasi wa dr sababu tu uko tofauti na wengine. ila naamini slaa anavuna alochopanda yy aliasisi mfumo wa kushambulia kila mwenye fikra tofauti na yy(akiwa katibu mkuu)kwenye mitandao sasa vijana wake wamesahau wanamvua nguo na yy.viva dr
sijui kwann wanamuamini sana El? halaf cdm wamezoea siasa za upepo unaelekea wapi. mf kwenye uchaguz wa serikali za mitaa walitumia kete ya escrow wakadhani watachukua viti vya kutosha kumbe ndio kuishia 15%
waswahil wana msemo mvinyo ni ule ule tofauti ni chupa wao wanatuambia chupa ni ile ile tofauti ni mvinyo inaingia akilini? hawana siasa ambazo ni sustainable. hawana misingi leo hii wanasema tuiondoe ccm mengine baadae maana hiyo hawan malengo y maana ya kua upinzani km hata huwez simamia nini unapinga.

wako mbele kunukuu maneno mawili ya mwl mbona aliposema nipo ccm si sababu naipenda ila sababu sioni chama mbadala hawsemi? ukweli ni kwamba watanzani wengi hwaipendi ccm ila wanakosa chama mbadala ambacho kina malengo bayana ya kusimamia yale mabadiliko wanayoyataka ndo maana wanaendelea kukipa ushindi na hata mwaka huu watashinda tena kwa kishindo tu

wako wtu wanasema sijui TEC wanataka rais. mm siamin katika hilo mengi ana malengo yake ya kibiashara ambayo pia yamekua yakiiyumbisha chadema kwani hawafanyi ili kusimamia misingi yao ila kuangalia yy anasemaje. mfano ni swala la hawa ukawa kutoka bungeni kukataa kupitisha muswada wa mafuta naamani mengi alikua nyuma ya hii kitu kwa asilmia kubwa sana
MM poke hamna aliyesikia
kuamini au kutoamini ni haki ya kila raia kisheria. viongozi wa CDM na UKAWA hatuzuii watu kuamini kile wanachokiamini kama ninyi CCM mnavotumia mabomu na jeshi kuwazuia wanaccm kuamini kile wanachokiamini.
 
asante sana. Ni hoja nzuri zilizomo zenye hasi na chanya. Mawazo ya mtu mzima lazima yaheshimiwe. Hvyo yapo mengi umetufumbua macho, ila mengne kwa ugeni wetu ktk ulingo wa siasa huenda ikawa ngumu kuelewa ila point zako si za kupuuzwa. Ukimya wako ulinitia shaka ila ahueni ipo baada ya makala yako...!

Kazi njema Mzee Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
ipi? itaje?

ccm kuna demokrasia gani hiyo ya mtoto wa rais kuwachagulia watanzania viongozi?!! yaan mshua anaingia kwenye vikao na majina mfukoni ndo demokrasia hiyo??!!!
Majina mfukoni? Kwani alipokua akiwachgua kua mawaziri alikua akiyatoa wapi? au sku ya uteuz hakuna anayetafuta alipoyatoa ila siku ya kukatwa alikua na yake mfukoni
 

Bahati nzuri mimi sio mwanachama wa chama chochote, ila nimewahi kuzungumza sana humu kuhusu madudu ya Chadema, na watu humu mkakisifu chama na kukipongeza kuwa kwenye Chadema ni chama kwanza, hakuna mwanachama yoyote ni mkubwa zaidi ya chama!.

Unachotaka kufanya hapa ni kuonyesha kuna wanachama fulani ni muhimu sana hivyo wakisusa, wanyenyekewe wabembelezwe, lakini kuna wengine wakivurunda ni timulia mbali.

Chadema wakifuata ushauri huu, hii itakuwa ni double standard ya hali ya juu!, who is he?. No one is indispensable, Chama kimeamua kumchukua Lowassa, then uamuzi huu unatakiwa kufuatwa na a collective responsibilities kwa wote kumkubali hata kama binafsi you have reservations, then keep them to yourself, you have only two options, with us or against us!, Chadema sio chama cha kubembeleza mtu, unakubali njoo tuenende pamoja, hukubali njia nyeupe kwendeni zenu kokote mnakotaka, Chama kianze kuwanyenyekea watu, what for?!.

Tena nasisitiza sheria taratibu na kanuni zifuatwe, kama Katibu Mkuu hajaripoti kazini bila maelezo yoyote, fukuza tuu, hakuna kubembelezana!.

Alifukuzwa ZZK aliyekuwa na 'real convincing power' itakuwa huyo?!.

Sibezi mchango wake kwa Chadema bali siungi mkono mwanachama yoyote kujiona yeye ni bora zaidi ya chama, hivyo anasusa akitaraji kubembelezwa!. Tena bembelezo lenyewe limeletwa with conditions ati lazima Chadema lazima kiwanyenyekee kina fulani kwa kufanya abcd, ndipo muunge mkono, vinginevyo...nawashauri tuu fungasheni na ondokeni!, tutamuingiza Lowassa ikulu, kwa msaada wenu au bila msaada wenu!.

Habembelezwi mtu!.

Pasco


Naoma unawapa kina Mwanakijiji the best of their own medicines .......
Karma is a bitch for real.......
 
Una uhakika Mzee Lowassa kanunua Chadema? Uko na ushahidi utuwekee hapa?

Kama mnataka ushahidi nendeni mkampekue fisadi Mbowe nyumbani kwake mpaka shambani kwao Machame kama hamkukuta marundo ya wekundu!!! Ushahidi gani unaouhuhitaji zaidi ya wahindi na wafanyabiashara waliochangishwa hizo fedha; uzuri wa wahindi wakitoa fedha hawana siri!!! Usalama wa Taifa wanamjua vyema mtu aliyekusanya hizo fedha na kuziwasilisha kwa wahusika!!!
 
Kama mnataka ushahidi nendeni mkampekue fisadi Mbowe nyumbani kwake mpaka shambani kwao Machame kama hamkukuta marundo ya wekundu!!! Ushahidi gani unaouhuhitaji zaidi ya wahindi na wafanyabiashara waliochangishwa hizo fedha; uzuri wa wahindi wakitoa fedha hawana siri!!! Usalama wa Taifa wanamjua vyema mtu aliyekusanya hizo fedha na kuziwasilisha kwa wahusika!!!

Kama unazo hazikutoshi, wanaochangisha hela na kuwaigopesha wahind ni akina nani? Kwenye mkutano mkuu mh lowasa alisema nn juu ya wahindi?
Nakusamehe bure hujui ulifanyalo
 
Kama unazo hazikutoshi, wanaochangisha hela na kuwaigopesha wahind ni akina nani? Kwenye mkutano mkuu mh lowasa alisema nn juu ya wahindi?
Nakusamehe bure hujui ulifanyalo[/QUOTE

Tatizo lako ni njaa; hujui kuwa mfadhili mkuu wa Lowassa ni Rostam Aziz, pengine utasema huyo sio mhindi ni mnyamwezi wewe mburula!! Hela mnazopewa zimedumaza mpaka ubongo wako!!
 
Unakumbuka nilisema nini wakati wa sakata la Zitto?

Kwamba kila unachosema kinatokea? You are a prophet, right? Toa maoni yako. Maoni yako yataheshimiwa. Lakini kufikiri/kuashiria kwamba lazima watu wafuate unachosema ni makosa. Sentensi uliyoandika hapa ina-imply kwamba unatarajia watu wafuate unachosema, vinginevyo watapata hasara kubwa. Kwamba, wewe huwa sahihi mara zote. Hukosei.
 
Vile vile najaribu kujiuliza; hivi unafikiri wanahitaji ushauri wako!? kama hawauhitaji, kuna haja gani ya wawe kuwalazimishia kuwashauri na mishipa ya ubongo kukutoka kwa kujifikirisha juu yao!? unafikiri wanakuthamini? kwa nini uvunjike mguu bongo kwa mpira wa ulaya?

Ndugu yangu Mzee mwanakijiji, Unajaribu kuwaonesha vipofu? Unajaribu kuwazungumzisha viziwi? Unalishauri zimwi? Nasikitika kwamba kama bado hujawaelewa watu hawa, utaendelea kupoteza nguvu na akili zako bureee!

Shida unafikiri CHADEMA ni chama cha siasa na sijui kwa nini.

Mkuu mnaendeleaje na mungu wenu wa ACT ?
 
Kwamba kila unachosema kinatokea? You are a prophet, right? Toa maoni yako. Maoni yako yataheshimiwa. Lakini kufikiri/kuashiria kwamba lazima watu wafuate unachosema ni makosa. Sentensi uliyoandika hapa ina-imply kwamba unatarajia watu wafuate unachosema, vinginevyo watapata hasara kubwa. Kwamba, wewe huwa sahihi mara zote. Hukosei.

Haka kazee wakati mwingine ni wakukapuuza tu.

Hebu twende tukapokee wenyeviti wa ccm wanaozidi kujivuwa magamba tuwang'owe vizuri wakoloni weusi.
 
Back
Top Bottom