Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,439
- 1,645
- Thread starter
-
- #121
Eeeewa. Asante sana.Kuna magari mabovu barabarani yasiyostahili kupewa leseni hata ya kupita barabarani kuelekea sehemu ya vyuma chakavu.
Magari kama yake yanayobeba wanafunzi, magari ya mkaa na majitaka mabasi madogo yanayotoa huduma pembezoni mwa miji na vijijini, haya yote kwa wingi wake na madhara yanayotokana nayo, yanapaswa kutozwa kodi zaidi ya asilimia 50.
Hiki ni chanzo kizuri cha mapato ya Serikali hasa kule kwenye halmashauri za wilaya na miji midogo.
Huoni kwamba utaongeza urasimu na kucheleweshw kwa safariEasy brother; mbona wanaupdate to taarifa za mfumo na makazi ya mkoa wako ulipo/ asilia unakoishi. Huhitaji mambo mengi. Kuhusu kukujua tutaweka Barrier Check Point kila Mkoa wanascan Plate Number inasoma Full Details kukuhusu. Maisha yanaendelea
Hakuna na hakutakuwa na shida.Huoni kwamba utaongeza urasimu na kucheleweshw kwa safari
mwanza dar utalipa kodi ngapi?Yaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.
Jiulize utapita mikoa mingapi unatoa cha nchi chapmwanza dar utalipa kodi ngapi?
situnalipa Road toll, mwanzoni kulikuwa na mageti ya ushuru, badae ikahamishiwa kwenye mafuta, ina maana sawa na wazo lako,Jiulize utapita mikoa mingapi unatoa cha nchi chap
Vipi kuhusu mabasi .?Yaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.
We ndugu una ufala sana🚮😁Yaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.
🤣🤣🤣😆😁Vip kama ntavuka mikoa minne Kwa SIKU moja
Changamoto ni matumizi.Hapa maana yake kila mkoa uwe na reg no yake wazo zuri ila hiyo kodi watanunulia maivete
Una habari kuwa kuna kodi mpya imependekezwa na huu mswada mpya wa fedha kwenye vyombo vya moto tayari kulingana na ukubwa wa engine!Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
kodi inatozwa kwenye faidaNajua. Huo ushuru wa 200 mpaka 500 najua kwa stand.
Mimi nilichoshauri hapa watozwe ndio kwa kuvuka Mkoa asilia. Ipo maana ndani yake. Mfano; Usalama, Afya, kudumu kwa miundombinu, kuboresha huduma za maendeleo nk
Faida inapatikana vipi?kodi inatozwa kwenye faida
kasome certificate ya uhasibu CBEFaida inapatikana vipi?
Ndio wanakofundisha faida huko?kasome certificate ya uhasibu CBE
Ooooooh hii ni noma sana. Hii program lazima upate akili na uwe na maarifa (kujifunza) lah sivyo unaweza kuamini kupinga habari za kodi ndio ujanja.Hatari sana
JEMA SANA HILI MAMLAKA ZILICHIKUE HARAKA SANA.Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.