Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,436
- 1,627
Fafanua!Habari TRA !
Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini?
"MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX"
Karibu.
Yaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.Fafanua!
Mbona unashangaa rafiki.Daaah
Haaaaahaaaaa hilo litakiwa ni jambo jema.Mwigulu anafuatilia kwa ukaribu majibu. Kuweni makini
Resources are scarcity. Wants and needs are unlimited.Hivi hili rundo lote la kodi bado hamtosheki tu?
Serikali haiwezi shindwa jambo lao.Mode of Collection yake italeta chuki kwa jamii na Serikali.
Hapa maana yake kila mkoa uwe na reg no yake wazo zuri ila hiyo kodi watanunulia maiveteYaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.
Haaaaahaaaaa tutasonga mbele tu.Hapa maana yake kila mkoa uwe na reg no yake wazo zuri ila hiyo kodi watanunulia maivete
Haina shida utalipia tu hiyo mikoa minne rafiki.Vip kama ntavuka mikoa minne Kwa SIKU moja
Serikali nzuri huweka good welfare ya jamii, siyo kutengeneza kero kwa jamii.Serikali haiwezi shindwa jambo lao.
Hapo itaongeza tu mrundikano wa kodi ambao ata usimamizi wake utakuwa mgumu na kuwapa mzigo mkubwa wananchi. Fikiria kwanza tax imposed on motorvehicles mpaka sasa.Yaani ni aina ya kodi ambayo kila Chombo chochote cha Moto kinapotaka kuingia Mkoa mwingine usio wa asilia kitozwe tozo. Lengo hapa ni kuchochea tu maboresho ya huduma hasa hasa kwenye Vyombo vyenyewe.